100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,733
- 30,459
Khaaa wapi na wewe, msaidie mwenzako yupo analia..khaaaaaah

Khaaa wapi na wewe, msaidie mwenzako yupo analia..

wee mkorofi sanaa, cjui ukojee hata, mxxxxiiiiiieeeew.Umeona had ujicheke mwenyewe, ww mi mzuri hafu situmii nguvu kwa taarifa yakoHio sura yako ilivyo mbaya hata ungekuwa mwanaume bado usingekuwa handsome boy... 😂![]()
🤣🤣🤣🤣 kknd juu km ngoma ya kijijikhaaaaaah
Achana na hizi mambo mi si size yako, pumzika sasa..Umeona had ujicheke mwenyewe, ww mi mzuri hafu situmii nguvu kwa taarifa yako
Mkuu umemaliza kila kitu!...kumbe wanadownload pics daah hii ni hatari, ndio maana wengine ukikutana nao lazima ukimbie😅We ni mtu mmoja una ID mbili, kwa sababu kuna siku hio ID ya kantry ilituma picha yako ya ku download, halafu hii ID yako ilikuwa inajulikana kwa picha za ku download huku unaziba sura. Huyo jamaa yako siku hio alituma picha kwa niaba yako akaifuta haraka, ile picha ilikua ni ya mlimbwende flani, we uli confirm kwamba ni wewe, hali ya kuwa hio picha niliiona online na source yake.
Sasa nikawa najiluliza kama jamaa yako anakufahamu kwanini atume picha ambayo si yako na ni ya kudownload..
Anataka atuaminishe we ni mzuri sana?
Anataka kutuaminisha anatembea na mtoto mzuri?
Na kwanini afanye hivyo? je mlipanga mfanye hivyo? mkiwa na dhumuni lipi?
Au ku pretend maisha ambayo si level uliyofikia? tukuone upo juu?
Nilijiuliza maswali mengi sana na ikafika muda nikatafakari nikaona ni ujinga mtu na mpenzi wako mnakosa kazi za kufanya na kuanza ku post picha ambazo si halisi kutu fool hapa, mpaka hapo nikawa na mawili kichwani either nimtu mmoja mwenye ID mbili, ama ni mtu na mpenzi wake ambao wote wamekutana ni madiishi yameyumba.
Mnasumbuliwa na escapism, una esccape from reality, maisha yako ni magumu au you are going through a tough time so una log jf na una pretend to be someone else for a while... Fake life...
You want us to see your life is like.. and not what it actually is like.
Kama ni couple basi huna uzuri wowote una sura yako personal, au ni mtu mmoja una umekosa cha kufanya unapoteza muda wako wa thamani kufanya ujinga...
Mi nakupiga spana za kweli kweli.. na huyo bwana ako sijui ni ID yako ya pili...
Kama ni couple ya kweli oaneni nyie wote madishi, mkipata mtoto atakuwa dishi lile kubwa kabisa..
Wee lekchaaa em mtaje?, yupi ulikutana nae ukamkimbiaa?Mkuu umemaliza kila kitu!...kumbe wanadownload pics daah hii ni hatari, ndio maana wengine ukikutana nao lazima ukimbie![]()

Wazee wa kuweka risiti.We ni mtu mmoja una ID mbili, kwa sababu kuna siku hio ID ya kantry ilituma picha yako ya ku download, halafu hii ID yako ilikuwa inajulikana kwa picha za ku download huku unaziba sura. Huyo jamaa yako siku hio alituma picha kwa niaba yako akaifuta haraka, ile picha ilikua ni ya mlimbwende flani, we uli confirm kwamba ni wewe, hali ya kuwa hio picha niliiona online na source yake.
Sasa nikawa najiluliza kama jamaa yako anakufahamu kwanini atume picha ambayo si yako na ni ya kudownload..
Anataka atuaminishe we ni mzuri sana?
Anataka kutuaminisha anatembea na mtoto mzuri?
Na kwanini afanye hivyo? je mlipanga mfanye hivyo? mkiwa na dhumuni lipi?
Au ku pretend maisha ambayo si level uliyofikia? tukuone upo juu?
Nilijiuliza maswali mengi sana na ikafika muda nikatafakari nikaona ni ujinga mtu na mpenzi wako mnakosa kazi za kufanya na kuanza ku post picha ambazo si halisi kutu fool hapa, mpaka hapo nikawa na mawili kichwani either nimtu mmoja mwenye ID mbili, ama ni mtu na mpenzi wake ambao wote wamekutana ni madiishi yameyumba.
Mnasumbuliwa na escapism, una esccape from reality, maisha yako ni magumu au you are going through a tough time so una log jf na una pretend to be someone else for a while... Fake life...
You want us to see your life is like.. and not what it actually is like.
Kama ni couple basi huna uzuri wowote una sura yako personal, au ni mtu mmoja una umekosa cha kufanya unapoteza muda wako wa thamani kufanya ujinga...
Mi nakupiga spana za kweli kweli.. na huyo bwana ako sijui ni ID yako ya pili...
Kama ni couple ya kweli oaneni nyie wote madishi, mkipata mtoto atakuwa dishi lile kubwa kabisa..
Hii spana siyo poa aiseeWe ni mtu mmoja una ID mbili, kwa sababu kuna siku hio ID ya kantry ilituma picha yako ya ku download, halafu hii ID yako ilikuwa inajulikana kwa picha za ku download huku unaziba sura. Huyo jamaa yako siku hio alituma picha kwa niaba yako akaifuta haraka, ile picha ilikua ni ya mlimbwende flani, we uli confirm kwamba ni wewe, hali ya kuwa hio picha niliiona online na source yake.
Sasa nikawa najiluliza kama jamaa yako anakufahamu kwanini atume picha ambayo si yako na ni ya kudownload..
Anataka atuaminishe we ni mzuri sana?
Anataka kutuaminisha anatembea na mtoto mzuri?
Na kwanini afanye hivyo? je mlipanga mfanye hivyo? mkiwa na dhumuni lipi?
Au ku pretend maisha ambayo si level uliyofikia? tukuone upo juu?
Nilijiuliza maswali mengi sana na ikafika muda nikatafakari nikaona ni ujinga mtu na mpenzi wako mnakosa kazi za kufanya na kuanza ku post picha ambazo si halisi kutu fool hapa, mpaka hapo nikawa na mawili kichwani either nimtu mmoja mwenye ID mbili, ama ni mtu na mpenzi wake ambao wote wamekutana ni madiishi yameyumba.
Mnasumbuliwa na escapism, una esccape from reality, maisha yako ni magumu au you are going through a tough time so una log jf na una pretend to be someone else for a while... Fake life...
You want us to see your life is like.. and not what it actually is like.
Kama ni couple basi huna uzuri wowote una sura yako personal, au ni mtu mmoja una umekosa cha kufanya unapoteza muda wako wa thamani kufanya ujinga...
Mi nakupiga spana za kweli kweli.. na huyo bwana ako sijui ni ID yako ya pili...
Kama ni couple ya kweli oaneni nyie wote madishi, mkipata mtoto atakuwa dishi lile kubwa kabisa..
Pepo toka hatutak Aman leo leo tunataka shari kama jana 🤣🤣🤣🏃🏃🏃Kwa jina la yesu nabariki hili group la selfika lianze Kwa Amani siku ya Leo.
Naenda kinyume na roho za makwazo, wivu chuki na umbea.
Naachilia damu yesu itamalaki humu watu waishi Kwa upendo.
Ameen
Ameen
Kheee 🏃🏃🏃🏃Umeongea pumba tupu, mgazeti mkubwa halafu hauna point za msingi??
Ni muda muafaka uolewe utulie, wenzio wanapepelea ndoa saa hizi. Wewe unazagaa na kurandaranda. Wewe upo humu kufatilia maisha ya watu kuliko yako, kwanza umeoga?
Hakuna kupotezea bana waendeleeeShemeji potezea basi
Umeendelea tena?🥺
Acheni jamani
Mnafaidisha tu wambea humu
Juzi wazee wa tuma kwenye namba hii walinitumia hii🤣Yes,
Wamasai flani, hivi...
Kimasai sumbai maana yake judge, leader🏃🏃🏃🏃🏃🏃