Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,229
- 37,482
Mtoto mzuri bado mbichi namba E kilomita 0 kbsa hiiChatin na pichaView attachment 3023795
Sema huna namba yangu ya simu tu
Mtoto mzuri bado mbichi namba E kilomita 0 kbsa hiiChatin na pichaView attachment 3023795
😍😍😍😍😍 chombo cha kaka hikoChatin na pichaView attachment 3023795
Amen 🙏🙏🙏Kwa jina la yesu nabariki hili group la selfika lianze Kwa Amani siku ya Leo.
Naenda kinyume na roho za makwazo, wivu chuki na umbea.
Naachilia damu yesu itamalaki humu watu waishi Kwa upendo.
Ameen
Ameen
Dogo sina mapafu ya kucheka mi ujue 😊😊😊🤭🤭🤭🤭🤭🤭!Umependeza sana
Ila tulia kwanza
Kuna jambo letu humu usitukatishe utamu
Somo zuri saana,Mkuu habari za Jumapili?
Hali ya hewa inafanya Wazee tushindwe kuamka mapema 🤗
Binafsi sivutiwi sana na hali ya ukosefu wa Utulivu hapa Selfika, inaonesha Vile Wanawake walivyowagumu ku-move on baada ya breakup n.k
Wangejifunza Kwa sisi Wanaume, tunaweza kushea binti lakini tukapiga kimya kama vile hakuna kilichotokea.
Nakumbuka Mwaka 47 Kuna binti mmoja nilikuwa niki-date, nadhani kutokana na changamoto ya Uzee wangu huu huenda nilikuwa simpelekei moto vya kutosha, hivyo Kwa Siri akawa anatoka na Kijana mmoja wa Umri wake.
Nikaja kujua baada ya wiki moja ya mahusiano yao ya Siri. Nilivyo na kifua, sikuweza kumuuliza yule Binti(Mpenzi wangu) Wala yule Kijana mwizi wa Mali ya Babu japo tulikuwa tukikutana mtaani kunywa kahawa ama kucheza bao Kwa Mzee Azizi pamoja.
Sikuwahi kumchukia yule Kijana Wala kuacha kupeana naye Mikono akinisalimia....
hapo nimeelewa sasa🤣🤣😂😂😂😂Eeh njaa ogopa sana
Walisema adui muombee njaa unafikir waliona nn 😂😂😂
Sijapona vizuri, ndio maana ni ngumu kuselfika 😎Hebu selfika tuone kama hujapona vizuri
siwezi hama mkoa nkipga hodi nyumbani kwa mtu naweza pewa debe la mahindi,,nihame nife njaaHama huko
Ya moyoni mtu hawezi kusema labla mhusika awe malaya asiye jali lolote we unafanya masihara kipapa live kiwe Jf 😁😁🤣🤣🤣🤣 Mbona hakuna aibu yoyote watu wanadunda wewe wifi vipi
Swadakta😍😍hapo nimeelewa sasa🤣🤣
Tupia hata kidole au hauna 😏Sijapona vizuri, ndio maana ni ngumu kuselfika 😎
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nuzu nimecheka mpk machozi.Seriously kabisa Mwanaume au Mwanamke muokotane mitandaoni unategemea mheshimiane labla sio mitandao hii ya walio kuwa na stress mwanzo mwisho😁😁
Zamani kijijini tulikua tunaishi hvo siku hz wamekua mabepari kila kitu ni dollar mbelesiwezi hama mkoa nkipga hodi nyumbani kwa mtu naweza pewa debe la mahindi,,nihame nife njaa
msiniponze jamaniWeka wewe unaonekana unajielewa huwezi danlodi kabisa .
Ntakulinda .Ila ukileta ujanja wa kudanlodi nakutelekeza.msiniponze jamani
huku kwetu bado bwan,, naskia skia tu debe la mahindi 3000 mara 5000 mara 8000,,ila sijawahi nunua.Zamani kijijini tulikua tunaishi hvo siku hz wamekua mabepari kila kitu ni dollar mbele
Kama na andika uwongo nambie my wiii😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nuzu nimecheka mpk machozi.
Ulijuaje mahi karibu sanaDada kimeiva??? Nimepita hapo kwako nimekuta umepalia ubwabwa unanukia mtaa mzima 😋
🤣🤣🤣🤣🤣 Nuzu ntakuchapa niache.Ya moyoni mtu hawezi kusema labla mhusika awe malaya asiye jali lolote we unafanya masihara kipapa live kiwe Jf 😁😁
Mi na hasira zangu hizi najiuwa kwa kweli