Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Selfika na mim nifurahi Raraa rereeLove it u know gademu shape 🔥🔥
Selfika na mim nifurahi Raraa rereeLove it u know gademu shape 🔥🔥
Mimi nakuamini mno. Yaani nakuamini kuliko hata mwanangu ninavyo muaminiMkwe lini ulianza kutokuniamini?
Mkwe nimepata!☺️Mimi nakuamini mno. Yaani nakuamini kuliko hata mwanangu ninavyo muamini
Haya SASA selfika bwanaMkwe nimepata!☺️
Ebhanaeeee 🔥🔥🔥
Mungu fundi! nyieeeee
Yaani raraa nikipungua lazima nikutafute tupige picha wewe unanipenda jinsi nilivyo since day oneEbhanaeeee 🔥🔥🔥
Sijasahau ulivyoninyanyapaa siku ileMungu fundi! nyieeeee
Aaaaaah picha tuu acha hizo bhanaaa 😊Yaani raraa nikipungua lazima nikutafute tupige picha wewe unanipenda jinsi nilivyo since day one
Subiri nipungue hata ubani utachomwaAaaaaah picha tuu acha hizo bhanaaa 😊
Sema siku Ile nliona vidole ulivyoviweka kabla vilikua haviendani na picha zilizofatia.....ila kuanzia Leo siwezi kuishi bila weweSijasahau ulivyoninyanyapaa siku ile
Haina haja ya kusubiri ephen_ 😊Subiri nipungue hata ubani utachomwa
Wewe piga teke fuko la hela tuSema siku Ile nliona vidole ulivyoviweka kabla vilikua haviendani na picha zilizofatia.....ila kuanzia Leo siwezi kuishi bila wewe
Tupia side viewWewe piga teke fuko la hela tu