Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,445
- 94,874
Mapenzi ya kugombana, kutoleana shits, kununiana, kulambana block, asikwambie mtu matamu sana..!! Halafu kwenye ugomvi ndio mtu anakwambia kasoro zako kweli lazima upanic 🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mie nisipo mchokoza ba tamu sijisikii raha, huwa namuambiaga mie sipendi amani, vita vita ndo nataka.
Leo mchana nkaanza kumcharua kimasikhara, sasa kuna neno alinambia lilinitibua, nisianze kumpa kichambo cha serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan full tafraniiii
Ngoja nikamchokoze honeyyy wangu kwanza, nilimlamba block ngoja nimu unblock nimchefue kidogo afu namlamba block nyingine.!! Hakuna amani hapa.!!
Last time aliniambia neno lilinichefua hata alivyompigia simu dada anipe simu nilimgomea kuongea naye 🤣🤣🤣🤣