Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lamomy kwanini unamtesa shem hiviii?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
View attachment 3021007
We kidampaaaa utaacha na kuachika mpaka usemeeee
Lamomy kwanini unamtesa shem hiviii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3021007
 
Mwanaume HB jf nzima 😍😍😍
Unapita naked sio shida zako, hakuna kujificha KIDUME S KIDUME cha mwandiga hiko 😜
Coca cazee wako kashafika huku
Wanaojificha huwa wanakuwa wamezaliwa kwenye familia za maninja au wale maalakhaida
 
Lamomy uduguu naomba nitengenezee wix ya kienyeji nitoe sugu za magoti.

Au unatakaa ung'aree pekee ako tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3021739
Uduguuu karangi pambee 😍😍😍😍
Mtoto mkaree unang’aa km kioo, uduguu wangu lizuriii bana mwah 😘 mwah 😘
Toto la Songea uko vyedii sanaaaaaa
Hilo halina ubishi miaka buku unakimbiza. Huhitaji wix, ww unahitaji raha za ba tamu
 
Uduguuu karangi pambee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mtoto mkaree unang’aa km kioo, uduguu wangu lizuriii bana mwah [emoji8] mwah [emoji8]
Toto la Songea uko vyedii sanaaaaaa
Hilo halina ubishi miaka buku unakimbiza. Huhitaji wix, ww unahitaji raha za ba tamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu em nitengenezee wix bhanaaa..

Ba tamu nimemcharuaa leo, anasemajee nakufata huko huko kwako, nkamuambia njoo nikuitie mwiziii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bas ex kijana wa JF, anahaha huyooo, noumaaaah
 
Hapana wix achana nayo uko 👌

Sasa ba tamu umemcharua nini?? Tatizo tuna gubu sana familia yetu 😂😂😂
Na akija atakuzagamua mpk utafute feni likupulize 🤣🤣🤣

Kwahiyo kijana wa jf naye anaumendea mzigo?
 
Hapana wix achana nayo uko [emoji108]

Sasa ba tamu umemcharua nini?? Tatizo tuna gubu sana familia yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Na akija atakuzagamua mpk utafute feni likupulize [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwahiyo kijana wa jf naye anaumendea mzigo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mie nisipo mchokoza ba tamu sijisikii raha, huwa namuambiaga mie sipendi amani, vita vita ndo nataka.

Leo mchana nkaanza kumcharua kimasikhara, sasa kuna neno alinambia lilinitibua, nisianze kumpa kichambo cha serious.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan full tafraniiii
 
Back
Top Bottom