Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] Treeeenahhh.!!!
Honeyyyy nichanie mistari Lamomy nionnneeee rahaaa.!! [emoji2222]

Hawajiamini sura zimewashuka km uji uliopoa, na vimaneno vyao pm ndio wameambiwa watampata bwana ovyooooo.!!! Wenzao wakituma tunaonyeshwa alafu tunawacheka hihiiiiii, HAMTUSHUHULISHI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na kwa taarifa yao piem zao nyingine tunawajibu sisi huku tunawadharau watoka pabaya, wasojua kupendwa wakatulia.!!
Sura chachu km wapolopolo waliokoswa koswa na kifusi mgodini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiiii uduguuu akeee??? Hapaaaaaaa!!!!
 
Mbona kinyonge [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nakujua ukizidiwa unaitaga modes, na maba naye namjua weakness zake anajifanya anakaza ila pembeni anaripoti.!! Sasa km refa wa mchezo sitaki kuona hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oyoooo.!! [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Tukiamua tunawatoa nyoka pangoni waje kugongana na kurushiana sumu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
C ndiwoooooooo!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume HB jf nzima [emoji7][emoji7][emoji7]
Unapita naked sio shida zako, hakuna kujificha KIDUME S KIDUME cha mwandiga hiko [emoji12]
Coca cazee wako kashafika huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzooo angu yuko on [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ah wee mie mambo ya kubeba mzigo katikati ya mapaja sitaki kwanza nilishaliwa hela nyingi sana na kufanyiwa mambo ya ajabu na waganga huku mbekenyera
😂😂😂😂 Nimecheka ujue mzabzab hutaki kubeba nini??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiiii uduguuu akeee??? Hapaaaaaaa!!!!
Treeeeeenahhhh 😂😂😂😂
Uduguu njoo tusali kuna moto baadae tutachomwa, tupunguze midomo.
Kwanza tumeachika ujue 🤣🤣🤣🤣
Hebu niitie shemeji yako anitoe upweke 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
C ndiwoooooooo!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tunawapatia 😂😂😂😂
Ila mimi naokoka nimesikia sauti ya Bwana inaniita “Lamomy acha kila kitu selfika nifuate”
 
Back
Top Bottom