Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona kinyonge 😂😂😂
Wewe nakujua ukizidiwa unaitaga modes, na maba naye namjua weakness zake anajifanya anakaza ila pembeni anaripoti.!! Sasa km refa wa mchezo sitaki kuona hilo 😂😂😂😂
Mimi sipigani na mtu anonymous
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaani utasikia "usimuonee hivyoo amesoma huyoo"

Bas kidampaaaa kichwa hikooo, vijana uchwaraa wanaanzajee kumsogeleaa? Classmates wake wanamuendea kwa nywilaaa na adabu.

Wasomii na mabosss tyuu ndo wanao mfata, afu nyota anayoo, kidampa kuwekwa wazi kwa umma, kuwa yuko na boss kubwa, nyie hamuogopiii tyuuu?

Sasa anaachaje kutrambaaaaa na kujikubaliiiiii? Amefanya ambavyo straight uchwaraaa wameshindwaaaa, nyiee hamuogopiiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimelewaa kabla ya kunywaa.
Unatumia mali yako😂
Dunia imekwisha
 
Back
Top Bottom