CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
WHY ARE YOU GAY🤔?
Walete chanzo cha ugomvi wao, file lao lilinifikia ila sikuwa na habari nalo niliona utoto mwingi. Sijui mambo ya piem mara huyu kajisifia hivi kwa manzi. Nikaona napoteza muda tyuu.!!Hahahaha m mwenyewe nilitaka kujua chanzo ila sijui mpaka sasa
Mimi mbona mstaarabu sanaWeeeh nakupata vyedii labda km umeacha ss hivi.
Sio chalii na charlesChalii si jina lako kabla hijab asili hilo la vin
Tumekubaliana focus yetu iwe pesa sasa haya mengine sijui umeyatoa wapiUnazunguka sana bana km sio mjanja 😂😂😂
Huyo mtoto mwenyewe kakuelewa basi tyuu unazingua, unapewa pasi unashindwa kuweka wavuni..!! Winga namna gani?!! 🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Haya chaleSio chalii na charles
Naunga mkono hoja 🤣😁View attachment 3020918To any healthy man under 45 who hasn’t hit the gym or do a workout of any sort since the day started,!🤔
WHY ARE YOU GAY🤔?
Halafu mbona ghafla wote wawili mmepotea kwa pamoja?!! Mlikuwa wapi? 😂😂😂Tumekubaliana focus yetu iwe pesa sasa haya mengine sijui umeyatoa wapi
Sawa sawa 😎Haya chale
Nlikuwa kwenye kidala nsingeweza kureply Wala kuloginHalafu mbona ghafla wote wawili mmepotea kwa pamoja?!! Mlikuwa wapi?
Nyumbani wanafunga mlango kwa msumari(kizingiti) natafuta Hela nikawakomboe😁Focus iwe kwenye pesa
Wewe unatufanya sisi watoto hapa?!! 😂😂😂Nlikuwa kwenye kidala nsingeweza kureply Wala kulogin
Nyumbani wanafunga mlango kwa msumari(kizingiti) natafuta Hela nikawakomboe😁
KwnnWewe unatufanya sisi watoto hapa?!! 😂😂😂
Watu ni wavivu, lazima waulizwe tuNaunga mkono hoja 🤣😁
Wanazingua sana yaani 😂😁Watu ni wavivu, lazima waulizwe tu
Unakaaje siku nzima hujatoka jashoWanazingua sana yaani 😂😁
Huoni unavyotupiga kambaKwnn
Mwanaume HB jf nzima 😍😍😍