ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,720
- 72,068
Mungu azidi kukupa mafanikio boss wangu The MonkKula unavyoweza ndugu yangu, zingatia mambo ya afya tu lakini sio kujinyima upungue mwili.
Fanya mazoezi Kwa afya pia ila usijishurutishe kupungua ufurahishe watu.
Kama unene haukuletei matatizo kwenye afya Yako, kwanini ujiongezee stress zisizo na ulazima?
DJ turudishe kwenye viti na kitu Cha TI "Live your life"
Wewe una moyo mzuri sana