Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa kati ulikua upo likizo jf? Sababu nimeanza kukuona wiki hii

JF ni sehem ya maisha yangu. Mtandao pekee niliyonayo na nnatumia muda wangu mwingi kupitapita kupata Elimu, kufurahia na pia kuona Dunia inaendaje.

Kuna kipindi nna kua mwingi na wakati mwingine napotea kidogo. Lakini sijawahi kuchukua likizo maalum JF.

Nafikiri nimejibu ipasavyo, naruhusu maswali ya nyongeza kama yapo au kama unahitaji ufafanuzi zaidi Tajiri.
 
Sina la nyongeza nimekuelewa Tajirii
 
Mbona hata sie tuna madeni na tumechagua kufurahia maisha bila kuvurugia amani wengine?

Kila mmoja akileta hapa mambo yake patakalika kweli?

Tuache amani na upendo vitawale.

Ukiona mtu kama anataka kwenda tofauti, unampisha tu aendelee.
Amani boss wangu.
Imeisha hiyoo
 
kifutu wewe🤣🤣🤣SaraKasi utapiga Kwa emoji tuu🤣🤣🤣
Mimi na wewe hatuchekani
Mimi kibonge kifutu lakini unajisahau wewe ulivyo una ka mwili kaadogo siku ile umeselfika sikuona muscle hata moja hata ndevu huna wakati mwanaume unatakiwa uwe na misuli mwili hautakiwi kulegea kama wako
Mimi nipungue na wewe kaza mwili huooo🤸
 
Mimi ni tall dark and gentlemen.kubali tuu uje geto nikutengenezee shepu nzuri
 
Back
Top Bottom