aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,583
beibyyy huyoooo unacheeka mwenyewe mmwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
beibyyy huyoooo unacheeka mwenyewe mmwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
☺️Asante min meNdio ephen nampenda sana mkali.
Zamu yako tupia hapa 😂😂😂Nimeshampa sifa zakee!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikupata mimi ni kibonge mwepesi🤸Ishi maisha yako dear!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Sasa JKT kwa mujibu hukupata shidaa jamaniii?
Watu weuweeeeeee!!!!! Muhimu ni kujikubaliiiiii!!!Asante kwa ushauri!
Ila siwezi kuacha kuvaa sketi na magauni nipitwe na fashion
Hata wewe mtu akikwambia usivae kimini kisa una vigimbi usimsikilize jikubali mtoto wa kikee
We mbona ndimu sana 😂😂😂Dear!! Mie sio mnafikii.
Naomba usiwe unavaa magauni au sketi. Uwe unavaa trauzaa tyuu ndo zinakutoaa balaa na hilo umbo hatariiiii.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Em nawee tulizanaaa, afu mbna akivaa trauzaa anawakaaa.beibbyyyyy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unamtania rafikiyako
🤣Winga mate yashakutoka 😂😂😂
Weka pesa mezani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una nn wee lakini?beibyyy huyoooo unacheeka mwenyewe mmwaaaa
Trauza navaa nikiwa na shemeji yakoEm nawee tulizanaaa, afu mbna akivaa trauzaa anawakaaa.
Ila magauni na sketi ndo anakua km mmama yaani.
Avaagae trauzaaaa!!
Upo sawa kabisa ila apo kwenye Mungu nisamehe kipenz 😁😁☺️Asante min me
Watu hawajui kumshukuru Mungu kwa kuwaumba jinsi walivyo mimi najikubali viungo vyangu vyote vimetimia sijali kuhusu mwili kama ulivyokuja unaweza kupungua pia
nilijua una30+ kumbe bado mtoto.nisamehe naheshimu sana watoto.Ya nini btw?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema ukwelii jamaniii,We mbona ndimu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Katibu niko makini 😂😂😂🤣
Ndio aweke pesa Kwa katibu
Jau sana udugu 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema ukwelii jamaniii,
Nilifanya diet lakini nilizidi tu kunenepa nimeamua nile ninavyojisikianilijua una30+ kumbe bado mtoto.nisamehe naheshimu sana watoto.
ila jizuie kula hovyo mdogoangu mzuri