cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,094
Uvaage hata home, umbo unalo na utambe nalo tyuu dear [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Trauza navaa nikiwa na shemeji yako
Uvaage hata home, umbo unalo na utambe nalo tyuu dear [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Trauza navaa nikiwa na shemeji yako
Nikitembea na mama wanajua ni mtu na mdogo wake sababu ya mwili wangu
Nilivyokua sekondari na advance watu walikua wananibully na umbo langu ila tokea nimejikubali mambo yameninyookea sijali maneno ya watu kama nyie!
Weka murembo haufungwi head girl nipo hapa 😍Nikiiweka hapa huu Uzi utafungwa... Ngoja niwaache ache
Hapanaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jau sana udugu [emoji23][emoji23][emoji23]
nakupenda sana hujuagi kununa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una nn wee lakini?
Home hapana! Nataka upepo upiteUvaage hata home, umbo unalo na utambe nalo tyuu dear [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Nakujua vyedii 😂😂😂Hapanaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em semaa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakupenda sana hujuagi kununa
Weka then futaNikiiweka hapa huu Uzi utafungwa... Ngoja niwaache ache
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakujua vyedii [emoji23][emoji23][emoji23]
inabidi nikaenawewe kama miezi mitatu hiohali itakutoka mdogoangu nakupenda sana🙁🙁Nilifanya diet lakini nilizidi tu kunenepa nimeamua nile ninavyojisikia
Kula tu kula bana weeeNilifanya diet lakini nilizidi tu kunenepa nimeamua nile ninavyojisikia
kweli hanyEm semaa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dear, aaaah!! Ila Una mtrakoooo.Home hapana! Nataka upepo upite
Mamy k kaingia selfika😂Hela ya yenyewe hukutuma na ya kutolea🤣🤣🤣
Hivi Karne hii mtu unaachika kweli? Huyo mkamilifu unaenda kumpata wapi??? ni mwendo wa kung'ang'aniaa🤣🤣🤣
Mie nipo huku na huku, udugu nautaka, Wifi nampenda....nyie Mie naogopaaa???🤣🤣🤣
Sema suu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli hany
Tajiriiiiiiiiiii! Mmeshafika wawili wewe na raraa reree mmeniambia maneno mazuri nimepata farajaHaina haja ya kuwa na wasi wasi na maneno ya watu. Na hii ndio kauli mbinu yangu siku zote, usikubali, mtu yeyote, kitu chochote au Hali yoyote ikakufanya ujione duni.
Kama umewahi shuhudia mtu amekufa Kwa maneno au maoni ya watu nikumbushe tafadhali, lakini Mimi Hadi mvi zimetapakaa kichwani bado sijabahatika kuona mtu wa aina hiyo.
Kula unavyoweza ndugu yangu, zingatia mambo ya afya tu lakini sio kujinyima upungue mwili.Nilifanya diet lakini nilizidi tu kunenepa nimeamua nile ninavyojisikia
kwauzuri gani ulionao shepu kijiko weweNikiiweka hapa huu Uzi utafungwa... Ngoja niwaache ache
sinimeanza leoWewe ni mnafki kunipenda ulianza lini leo iwe mara ya pili