Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliona nafaidi mnoo, ila uduguu nina nyotaa, boss nilikua nae winzaa winzaa, afu hakunificha km bangi, aliniweka wazi kwa umma km almasi.

Watu weuweeeeeee!!!! Nina nyotaaaa bhanaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raha ya kupendwa usifichwe, uduguu uliweza.!! Hafu uduguu zangu wote hamfichwagwi buanaaa wapi mama mio 😂😂😂🤣 mmeweza, mpk mmewezaa tena
 
Raha ya kupendwa usifichwe, uduguu uliweza.!! Hafu uduguu zangu wote hamfichwagwi buanaaa wapi mama mio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] mmeweza, mpk mmewezaa tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu Nina kitu, na mbali nimeshafika tayariii.

Nyie hamuogopiiiiii? Woiiiiiih
 
Back
Top Bottom