Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuu nimechekaaa sanaaa
Kusema kweli natakiwa nipunguze Wivu tu kwenye huu Umri wa Uzee maana vinginevyo Presha itaniua Babu yenu.

Mwaka 47 wakati Nchi ikiwa haina Maji ya uhakika, Bibi yenu alidamka saa 10 alfajiri kwenda kufata Maji korongoni huku Mimi nikiwa nimelala.

Kusema kweli nilijua wamemwiba live live, anakuja kurudi saa 3 asubuhi na ndoo ya Maji kichwani 🙌

Ingekuwa ndiyo Vijana wa miaka hii mbona wangekuwa wamegawana majengo ya Serikali 🤗
 
Moderators

Naomba mnijie kwa nywilaaa, picha zisizo za maadili ni zipii? Na zinakiuka kanuni ya JF kwa lipii? Mnichokozee taratibuu.

Mnataka nisi selfike? Mbna wengine wana selfikaaa, em mniacheee mie,

Natuma tena zaidi ya hizi, maana uhuru ni wangu ku selfika km uzi unavyotakaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusema kweli natakiwa nipunguze Wivu tu kwenye huu Umri wa Uzee maana vinginevyo Presha itaniua Babu yenu.

Mwaka 47 wakati Nchi ikiwa haina Maji ya uhakika, Bibi yenu alidamka saa 10 alfajiri kwenda kufata Maji korongoni huku Mimi nikiwa nimelala.

Kusema kweli nilijua wamemwiba live live, anakuja kurudi saa 3 asubuhi na ndoo ya Maji kichwani [emoji119]

Ingekuwa ndiyo Vijana wa miaka hii mbona wangekuwa wamegawana majengo ya Serikali [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvuvi haramu ktk ziwa Victoria, babuuu utakufa vipira vimepwaya km tyre limepata panchaaa.

Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moderators

Naomba mnijie kwa nywilaaa, picha zisizo za maadili ni zipii? Na zinakiuka kanuni ya JF kwa lipii? Mnichokozee taratibuu.

Mnataka nisi selfike? Mbna wengine wana selfikaaa, em mniacheee mie,

Natuma tena zaidi ya hizi, maana uhuru ni wangu ku selfika km uzi unavyotakaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumekucha kumekucha 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvuvi haramu ktk ziwa Victoria, babuuu utakufa vipira vimepwaya km tyre limepata panchaaa.

Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli bora tumezeeka sasa 🤗 😜
 
Back
Top Bottom