cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,086
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMi naupenda na sauti yake basi buruda [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMi naupenda na sauti yake basi buruda [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikumbushwee.Unajifanya hujui? [emoji23][emoji108][emoji108]
Haya haya kaweka whatsapp status chap😂Lekchaaaaa hii kaliiii afu umetishaaa sanaaa!!!
Iko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wanaume hawaachagi, tatizo ww una gubu uduguu wangu 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaniachaa yeyee jamani, naanzaje kupiga teke fuko la hela?
😂😂😂😂 Tuna gubu ndio tatizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo mode mwenyewe badala ya kunitetea ndo atakua analima ban kila nikimchachua.
Woiiiiih
Kumbeee 😂😂😂😂Na ban kapatia ktk ule uzi, kuna comments zake zimefutwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wizo ana balaaa
😂😂😂 Kasema we mbaya hakupendi@Lamomy uduguu nisaidie hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unazingua 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikumbushwee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwekaga status quotes km hizo, kuna waja wanafura hatariiii, sijui inawachomaa wapiiii? LolHaya haya kaweka whatsapp status chap[emoji23]
usimshirikishe huyo anaroho mbaya sana my@Lamomy uduguu nisaidie hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Laana na pepo la kufukua mitaro linakuandama kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kasema we mbaya hakupendi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo linakuandamaaa.Laana na pepo la kufukua mitaro linakuandama kwa kweli
Em sema kwelii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usimshirikishe huyo anaroho mbaya sana my
Nikumbushee uduguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazingua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana.... Mybe itokee huyu mshangazi akahitaji hii huduma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo linakuandamaaa.
😂😂Nikupe faini kwa kukataa ushauri wangu dadaako niliyewahi kuliona jua 😂😂😂
Uwe unanisikiliza nikikwambia ohhh!!
Hahaha..........ila nashukuru Wazee kunikatalia kumuoa yule Binti, vinginevyo Kwa ule utundu wake ningeuza assets zote za familia kwaajili yake🤗🙌😂😂😂 ila babu unazingua sana ujue
Hizi story za mwaka 47 zinachekesha
unatamba naeNatumaje na ya kutolea wakati nyago la uongo!! 😂😂😂😂
Kila nikifanya ulichonifundisha kaka yako anakasirika, yan namtibua kabisaa.!! Mpk nikawaza au ndugu wa mume hawanipendi wameamua kunipa tips za kumkwaza mume?? 😂😂😂
Wifi sitoki hata walete greda, mwanaume malaika hayupo, kwanza bora shetani unayemjua, kuliko malaika usiyemjua..!! Upo hapo? 👌
Ww ng’ang’ana hakuna kutoka mtu.!! Nasemaje Nasemaje kaka yako siwaachii 🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️