Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole, msuka mipango mwenzio kakuumbua mapema kabisa.!! Niwatakie jpili njema na mipango mema. Una lingine?? Naomba leo maliza yote unayotaka kusema sababu baada ya hapa sitakuwa na muda wa kukujibu tena.!!
Kumbe unavuta bangi? Aiseeeee
 
Nilijua lazima utachanganyikiwa, unaona ulivyoanza na unavyomaliza? Hapo ndio kuvurugwa sasa
Kila muda nakuuliza wenzako watatu wapo wapi? Na kwa nn hutaki kujikubali? Mbona wenzio wanajikubali na maisha yanaendelea? Ushoga ni mbaya, ila imeshakua hakuna namna jikubali uwe na amani, lakini hii kuingia mtandaoni kuanza kuonea wengine wivu ni ujinga
 
Ulikua unajitia kumuita huyo coca aku support, amekukataaa....
Inadhihirisha uongo wako, ukisha fake tu picha hapa... kila mtu anajua huna lolote....

Sasa mzee hebu nibariki na selfie moja ya ku download mchana wangu ukae vyema..
Wee nae em utulie jamani, kila siku kugombana na watu tyuu.
Si uwaache wao na mambo yao ya couple!! Aaaah
 
Nyie wapumbavu, nendeni PM. Mnatuharibia uzi wetu.
 
Kwahiyo mimi mvuta mpepe? πŸ˜‚πŸ˜‚
Ujue hii mifano yako watu watanichukulia nakula ndumu kweli humu.!! Unataka nikose wa kunitoa upweke ajue mimi kibaka!!
Hahaaaaaa hata mi nimekutoa thamani kama unakula mpepeπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
 
Ulikua unajitia kumuita huyo coca aku support, amekukataaa....
Inadhihirisha uongo wako, ukisha fake tu picha hapa... kila mtu anajua huna lolote....

Sasa mzee hebu nibariki na selfie moja ya ku download mchana wangu ukae vyema..
Naona unajipa moyo, ww umeambiwa jikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…