Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,568
- 95,191
Uduguu sitaki tena mahusiano humu, nimewaachia nyie 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaishe kweli, au unajipanga uje na lipiii?
Uzuri mie utakavyokuja nakupokea hivyo hivyooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaa chati na mtoto mzuri, uwe shem, ila kumbuka had mie nimshawishi akukubalie, viginevyoo utagonganisha sana meno upate kithembe, na mchuchu usimpatee.
Wee huogopiiiii?
Ulinichuza kwa madenge ona yaliyonikuta