100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,178
- 36,373
Nimekuta umeni quote bro..Mrembo ndo mie hapa, huyu alikuwepo toka mda, hukuzungumza nae na hukuwepo, ila mie kuingia humu nawe huyoo umezamia
Unaniona kwenye glass ya maji au juice? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila bro unazingua sana.. we si una ndevu kabisa tena hadi mapele kwenye kidevu, hata kama ni ugum wa maisha umezingua sana...