Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,554
- 95,155
Nimeamka uduguu wangu, nilimpigia simu dada aje tulale wote. Nilihisi Israel yuko karibu.Lamomy uduguuu umeamkaaa? Afu ukuje unisabahi.
Leo najisikia poa kiasi chake najua kufika mchana nitatoka nje kufanya mazoezi.
Ahsante kwa kujali coca wangu 🥰🥰🥰