Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mie namshangaa, hajawahi nitongoza na hatukuwahi zungumza chochote kuhusu love, ila yeye ndo alikua ananikubalii akijua ni ka dyadyaa.

Sasa baada ya kuambiwa mie ni kidampa, kaanza chuki na hasira, sasa km hana interest na vidampa si awe buzzy na galz, uzuri mie sina hata tyme nae, niko buzzy na yangu.

Ila yeye hawezi kaa bilaa kunifata fata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF ina heka heka hatariiii.
Nani alikua anakukubali?
Sikubaligi uchafu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu ucnichekeshee mie hapaa.
Kuna siku nafanya usafi kwa kutumia water lubries inaitwa Devex,
Sasa kumbe inatakiwa maji ya uvugu uvugu, mie nkatumia ya baridii, kuweka kugusa kule kunako, nlivyorukaa na kupiga ukunga huo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliropokaa mambo ya ajabu, yaan kungekua na mtu karibu angenifunga kamba, kwamba uchizi umeanzaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumuambia baba tamu alicheka, japo sio mchekaji holela, na ni mgumu kucheka.
Bro unazingua..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakwambia yamenikuta sina hamu!!
Ila umenichekesha shem hajakupepea?? Waxing nzuri ila ina balaa lake haswaaa hii ya kienyeji wohiiii!! Nimekoma [emoji119][emoji119][emoji119]
Ss hivi najipeleka mwenyewe kufanyiwa staki tena ujuaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatariiiii tupuuu. Anipepeee wapiii na nilimuambia kwa cm.

Kujifanya mjuajii, nachukua product hata maelezo sisikilizi vizuri, ile siku niliropokaaa, "naacha mie sirudii tena" cha kuacha chenyewe sikijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moderators!!!!

Huu uzi ulipoa km kojo LA hanithii, yaan haukua na uchangamfu, ila leo kutuachia huru mie na udugu wangu, li uzi limefufuka km nsyuka toleo jipyaaa.

Yaan linatatalika utadhani mtu anaoga nje, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtupe maua yetuu, Selfika ina wenyewee, na wenyewe ndo sie.

Naona leo hapo JF HQ mnautazama huu uzi ukiwa wa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Lazima niwachaneee makavuu, Selfika inabebwaa na heka heka.
Na wenye heka heka ndo sie, afu hatulazimishii tunazimuduuu.

Wachachuajiiii km wachachuajiii tuko winjaaaaa winjaaaaaa!!!!
Kaeni kwa kutuliaaa, mtazamee manjegekaaa yanavyonjegeshwaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Mbona kojo la hanithi mweeee
 
Back
Top Bottom