Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatareee nijiandae
Si umeona misuli ile? Atakuharibu ujue.
[emoji23][emoji23][emoji23], na hiyo rangi alama zinabaki kuonekana, utasema ubende umegandaa.
Woiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeh wee jizolee kibabu wako wa Las Vegas ukale maishaa kwa Biden.
Ila uduguu umenichoka khaaaa!! 😂😂😂
Mimi hata mwanaume akinizidi miaka 3 simuelewi ndo itakuwa kibabu??
 
Ba tamu alichokosa ni ndinga ya 34M, ila vinginee vyoteee yuko on air.

emoji91.png
emoji91.png
emoji91.png
View attachment 3016793
Kwa hizo sifa labda alikuwa kitukuu wa mfuasi wa yesu
Ba tamu alichokosa ni ndinga ya 34M, ila vinginee vyoteee yuko on air.

[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3016793
 
Nimelia sana [emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa mimi ninaye na anavyo hivyo vyote ila simpendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em nipe dawa ya kumpenda kilazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu sema kweli, hana hivyoo vyote bhana.
Mbna ungempendaa tyuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu sema kweli, hana hivyoo vyote bhana.
Mbna ungempendaa tyuu.
Kweli anavyo ni mwanaume na nusu uduguu ila nna principle zangu nimejiwekea zinagoma kumuelewa 😂😂😂
Au nimerogwa sijui
 
Huu ushindii ni wanguu, [emoji91][emoji91][emoji91]
Yaani ni full kuredemka...

Ba tamu woyeeee!!!
1717996682475.jpg
 
Kweli anavyo ni mwanaume na nusu uduguu ila nna principle zangu nimejiwekea zinagoma kumuelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Au nimerogwa sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo principles zako zinataka wazungu. Kuwa mkweliii.

Mie principles zangu zimeangukia kwa mpare na anazimudu.
 
Back
Top Bottom