Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mke wa tajiri naye ni tajiri tu
Mazingira yanaonekana[emoji119]

Tajiri anatusanifu humu kuwa yupo anakinga maji ya mvua makambako,Kumbe anaishi uzunguni sijui Masaki huko..
Makambako hakuna sehemu ya hivyo.
Kusema ukweli mm sio tajiri, hili nalisema kutoka moyoni. Ila yeye [emoji119]

Hapana haishi masaki, but anapoishi [emoji119]
 
Watu wabaya sana
Ukisikiliza stori zako unaweza dhani wote tupo Tandika.
kumbe!

Hivyo viatu hata mwendokasi haviwezi kupanda.
😂😂😂😂 Ila Anne ujue unanichekesha sana
Mbona hivo viatu sio issue kabisaa hata wewe unaweza kuwa navyo mahi
 
Kusema uongo ukweli mm sio tajiri, hili nalisema kutoka moyoni. Ila yeye [emoji119]

Hapana haishi masaki, but anapoishi [emoji119]
Aisee
Kumbe watu tunabishana na matajiri humu bila kujua

Ila mimi niliwaona hamna mbambamba mlivyoniungisha
maneno kidogo pesa inaongea.

anaishi wapi huyu tajirii anipe koneksheni hata ya udobi.
 
Back
Top Bottom