Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,160
- 64,777
Lakini nakumbuka ulimueleza hivyo Siku ya kwanza 😅😅Sasa niki mpa zawadi ya dunia, nyie mtakaa wapi🤣😁
Yaani ulikosa ahadi zote za kumpa hadi umpe Dunia
Bora ungesema tumpe yale mashamba yetu ya Katavi 😜
Kuhusu sisi pa kuishi tutafanyaje sasa Wakati Kijana wetu ameamua kutufukaza kijanja......🙌