πππππππ
πππππππ
π₯°Nimelia
Asante sana YaniRudi tu mwaya
Yaliyopita si ndwele, Binadamu kutofautina ni jambo la kawaida..kikubwa ni kusameheana na kurekebisha mlipokoseana.
Maneno kawaida
Ila yasipite kiasi,,wewe control tu umbea basi unaendelea.
Unaogopa kusemwa?
Nani humu hajawahi kusemwa??watu tunasemwa tunapakwa matope na tunadunda tu wala siyo shida zetu na wala hatuhangaiki kujibu hadi wasemaji waombe poo wenyewe.
Rudi tuendeleze stori nzuri..maana apart from umbea ambao pengine ulitunanga watu kuhusu vitu tofauti,bado una mazuri Yako mengi.
Unakumbuka ulinifundisha kupika kachori?
Kila nikipika nakukumbuka
Imagine usingekuwepo ningejifunza wapi?
Ndio ujue bado una mazuri mengi ya kushare na watu.
Mapenzi ni ujingaYanauma hayoπ
Kilichoniuma sana ni yeye kuniita pimbi dah , ili hali I'm not short kihivyo
Na juzi kusema nimepauka kitaa sijui nn ,
Yeah ila naishi Maisha yangu , napambana mwenyewe ..
Sina pesa ndio lakini si sahihi kuja kumpaka mtu public vile
Rabbitus iliniuma sana hii .
Ila yamekwisha .
ππππ Unataka kumponza uduguu wangu sasa?? Mwenzio huko aliko maziwa yamekauka sijui atamnyonyesha nini mtoto wetu jrβ¦.
Hawezi bana hilo nalijua
Yaani unavyozidi kujitetea ndio unazidi kuharibu.Asante sana Yani
Kati ya watu sijaowasema ni ww
Sijui hata niliongea vipi huko .
Ila nilipata tu maneno tu kuhusu wewe na Mr vocha ..
Yaani sijui hata . I apologize for that
Asante sana Anne
I appreciate you kwa moyo wako wa upendo.
Yeah naikumbuka na niliona uliandika sehemu .
Au kama Depal issue ya mtoto dah
Namjua wapi huyu dada
Nilisikia maneno tu huko
Mimi nilikasirika baada ya kuona anajibu watu vibaya kupitia akaunti yangu dah .Take it easy
Kiukweli hata mimi sikupenda Ile statement hata kama ulikosea
Lakini jamaa aliadmit kwamba ilikuwa hasira tu,ukizingatia ilikuwa katika kurushiana maneno huku na huku.
Na alifungua uzi humu kwamba msameheane wote.
Kama watu wazima,pangeni namna mkutane mmalize mambo yenu..haipendezi kutupiana maneno kiasi kile,mwisho wa siku mbadhalilishana kufaidisha wambea.
Sisi tunawajua nyie wote watatu ni watu wazuri sana humu.
Naamini Kuna mambo mkiweka sawa,haya yote yatakwisha.
Na unajua mzizi wa yote haya ulianza baada ya kuyaleta hapa jukwaani mambo yenu ya kuibiana ID,mkamtag tena kwa lugha kali,na yeye akaja kujibu hapa mambo yakaharibika.
Kawekeni mambo sawa,,,
Na kwa kukudokeza tu,,,Ile mishe bado ipo.
It's up to you.
Weee kumbe upimbi ni mbaya kiasi hicho hahahah Nimecheka!Kilichoniuma sana ni yeye kuniita pimbi dah , ili hali I'm not short kihivyo
Na juzi kusema nimepauka kitaa sijui nn ,
Yeah ila naishi Maisha yangu , napambana mwenyewe ..
Sina pesa ndio lakini si sahihi kuja kumpaka mtu public vile
Rabbitus iliniuma sana hii .
Ila yamekwisha .
ππππ wala babu simfichi ni grahms, ulikuja kuniambia kwamba ananipenda eti nimtafute wakati ulisema Lenie kakuibia babu.. na aliahidi kumpa million, mwishoe akampa lakiβ¦Wee hio mikwara uchwara yako wapelekee haohao wifi zako unaowang'onga na kuwachekea at the same time ambao wanakuogopa sio mimi!
Mimi wewe zaidi ya kubwatuka huna cha kunifanya yani hunaaa! Chochote kile huwezi nifanya si wewe wala huo ukoo wako elewa neno ukoo!
Na ninawashukuru matipo ids wamenifanya nijue wewe ni mtu wa aina gani utakhakha sana nakwambia bado hujasemaaa! Enhee nilivokukuwadia babu ndo ikawaje?? Wewe si mtu wa makavu mbona babu unaficha jina na pepsistic ulitaja hadi jina???
Wapige mikwara uchwara hao wifizo wanaokuogopaa
Hebu rudia selfii yako ya jana usiku kwanza nicheke mimiiiπ Si unajiamini wewe huko kuwahi kufuta kwemaa?? Una wasiwasi nanini ndo huamini Hadi Picha zakoooo mwenyewe???
Afu leo tuweke video basiii ila anza na picha uloweka usiku then video sijui unataka tugundue nini!
Chat na picha wapendwaaa!!
Asante dearWeee kumbe upimbi ni mbaya kiasi hicho hahahah Nimecheka!
Pole sana . Achana nahizo maneno ndo unazidi kuwapa kiki wabeatukaji nakwambia.. Tuendelee kuselfika tu mamy!
Nimemiss lippsss kareee Naomba uibles asubuhi yangu mamy!
Lakini alikana kwamba hatumii ID yakoMimi nilikasirika baada ya kuona anajibu watu vibaya kupitia akaunti yangu dah .
Ni umepatia hapo ndo ilipoanza maneno .
Asante sana kwa ushauri mzuri sana
Uzi ndio ulifunguliwa lakini juzi tu alikuja kunikanda Tena vibaya sana na kuanza ugomvi mpya .
That wasn't okay dah .
We sorted things up .. na yameisha .
I just hope in days to come .. yatakwisha kabisa .
Unaona sasa unavyojimix jana mimi niliweka picha wapi?? ππππWee hio mikwara uchwara yako wapelekee haohao wifi zako unaowang'onga na kuwachekea at the same time ambao wanakuogopa sio mimi!
Mimi wewe zaidi ya kubwatuka huna cha kunifanya yani hunaaa! Chochote kile huwezi nifanya si wewe wala huo ukoo wako elewa neno ukoo!
Na ninawashukuru matipo ids wamenifanya nijue wewe ni mtu wa aina gani utakhakha sana nakwambia bado hujasemaaa! Enhee nilivokukuwadia babu ndo ikawaje?? Wewe si mtu wa makavu mbona babu unaficha jina na pepsistic ulitaja hadi jina???
Wapige mikwara uchwara hao wifizo wanaokuogopaa
Hebu rudia selfii yako ya jana usiku kwanza nicheke mimiiiπ Si unajiamini wewe huko kuwahi kufuta kwemaa?? Una wasiwasi nanini ndo huamini Hadi Picha zakoooo mwenyewe???
Afu leo tuweke video basiii ila anza na picha uloweka usiku then video sijui unataka tugundue nini!
Chat na picha wapendwaaa!!
Yaani pimbi πππWeee kumbe upimbi ni mbaya kiasi hicho hahahah Nimecheka!
Pole sana . Achana nahizo maneno ndo unazidi kuwapa kiki wabeatukaji nakwambia.. Tuendelee kuselfika tu mamy!
Nimemiss lippsss kareee Naomba uibles asubuhi yangu mamy!
Kabla ya drama zote humu ndani alitumia .Lakini alikana kwamba hatumii ID yako
Na nadhani suala lako liliwasilishwa kwa Melo na ukapewa namba yake
Vipi hakukusaidia?
Humu tunaselfika si kuanza kuchambuana dear jiamini na ujiachie kwaraha zako and be you wasikupangie maisha!Asante dear
Lips zenyewe zimepauka πππ
Ni sahihi sana unachosema.
Hizo story zote zilipikwa na idβs za mama Miongozo wala msijichoshe kumtafuta mchawi wenu humu ππππAsante sana Yani
Kati ya watu sijaowasema ni ww
Sijui hata niliongea vipi huko .
Ila nilipata tu maneno tu kuhusu wewe na Mr vocha ..
Yaani sijui hata . I apologize for that
Asante sana Anne
I appreciate you kwa moyo wako wa upendo.
Yeah naikumbuka na niliona uliandika sehemu .
Au kama Depal issue ya mtoto dah
Namjua wapi huyu dada
Nilisikia maneno tu huko
Dada bonge video haiplay, rudia tena kuituma basi uduguu wangu ππππWee hio mikwara uchwara yako wapelekee haohao wifi zako unaowang'onga na kuwachekea at the same time ambao wanakuogopa sio mimi!