Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,337
- 95,715
HahahahahaAsinishirikishe kwenye ulevi😀
HahahahahaAsinishirikishe kwenye ulevi😀
Endelea kukataa hapa ila ukweli unaujua 😁😁Una nichekesha Sana, mi si huyo😀😀.
Humu ndani wanao nijua ni 2 tu😀😀, 👉zingine nadharia za kiswahili.
Kuna mtu mwingine nitakuulizia,ila now naingia kwa kazi,Leo nipo night shift.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee doktaaaa utanilipiaa au? Maana ubuyuu ni pesa siku hizi, hata Mange kimambi App tunalipia.
Kuhusu Tinsley muulize yeye si unamuona hapa, naamini atakupa in4 zote.
Kuhusu hawa wengine, tuaache kwan nakuitiaa watakuja kujibu wenyewee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unapenda hekaheka wewe
Alafu siku hizi kingereza kingi kimetoka wapi mrembo?
Na kwa nini umebadili jina? Lile la mwanzo limekaa unyama sana kuliko hili asee!! Hili nakugananisha na kuzo wake cocastic ujue.
Namjua unae nifananisha nae, ila mbingu ni shahidi sihusiki nae.Endelea kukataa hapa ila ukweli unaujua 😁😁
Ni wewe 😁😁Namjua unae nifananishe nae, ila mbingu ni shahidi sihusiki nae.
Halafu kumbe ndo maana una nijaza kwenye scope!!.Ni wewe 😁😁
Kheeeeeh shouzzzz haya tena yanakujajee? Kumbe wee na uduguuu mna hatred? Si tulikua peace kabisaa humu? Kwani imekuajeee?Wewe ! Mwambie huyo udugu wako asinitishe afu sitishiki kiboya mimi aje kumwaga hizo Siri zangu nimemruhusu!
Mimi nicreate Id mpya kisa yeye what for? Who is she ????????? Tumeshea nani ???? Humu ugomvi si mlisema sababu kuu ni kushea hogo haya Hii chuki ghafla bin vuu nimeshea nae hogo lipi?? Kama sio hayo Hii hatred yake ghafla imetokea wapi???
Undumilakuwili haujawahi kumuacha mtu salama awatishiege haohao sio mimi . Mimi sina sababu ya kumjia na I'd mpya Yani sijaona na siioniiiiiiii kwanza Hakunaaaaa anitolee wenge.
Aje amwage hizo Siri
😂😂😂😂 mhmmm!! Uduguu yaliyopita yamepita sababu ss hivi shem karudi??Katika lile Mimi sina tatizo kabisa yalopita yamepita..
We want ile selfika ya amani na upendo wa agape tulokua nayo tunacheka tunafurahi masaa yanasogea kila mmoja anaenda pambana na shida zake offline!
Ndiomana sasahivi watu hata wanaogopa kuselfika Sababu ya ujinga ujinga wa wachache!
Selfikaaaa mafoto kwakwenda mbeleeee
Sio bureee, ujiandae kulipiaaa daktareeeee.Kuna mtu mwingine nitakuulizia,ila now naingia kwa kazi,Leo nipo night shift.
Wee utadisco mwaka huu, ujiandae na UE huko.wakezangu humu hamjambo?
1.dr lizy
2.cocastc
3.nuzulati
4.mahondwa[emoji53]
5.joannah
wapenzi wangu kilamtu aweke namba yamuamala nitume hela yasupu asubuhi sawa wapenzi wangu? haya wekeni namba basi watoto wazuri
😂😂😂😂 nani kakutisha?? Hebu kunywa maji kwanza utulie usimulie vzr…Wewe ! Mwambie huyo udugu wako asinitishe afu sitishiki kiboya mimi aje kumwaga hizo Siri zangu nimemruhusu!
Mimi nicreate Id mpya kisa yeye what for? Who is she ????????? Tumeshea nani ???? Humu ugomvi si mlisema sababu kuu ni kushea hogo haya Hii chuki ghafla bin vuu nimeshea nae hogo lipi?? Kama sio hayo Hii hatred yake ghafla imetokea wapi???
Undumilakuwili haujawahi kumuacha mtu salama awatishiege haohao sio mimi . Mimi sina sababu ya kumjia na I'd mpya Yani sijaona na siioniiiiiiii kwanza Hakunaaaaa anitolee wenge.
Aje amwage hizo Siri
Jamaniiii jamaniiii yaan wee unafall in love mazimaa,Lemme just answer this
I'm so naive when it comes to love .
Nimemaliza [emoji28][emoji28]
😂😂😂😂 Weee kumbe??Kheeeeeh shouzzzz haya tena yanakujajee? Kumbe wee na uduguuu mna hatred? Si tulikua peace kabisaa humu? Kwani imekuajeee?
Mbona mnanitishaaaa sasa? Naomba msemee mna tofauti gani nyie? Na inasababishwa na nn??
Niko tayariii kuwasuluhishaaa, hii JF mbonaa inataka kuni overtake ghaflaa hiviiii?? Kutokaa kwenye uke wenzaaa had nyie mabest? Mbona sitaki kuaminiiiii??
Duuuh JF ya motooooo, huwa nasemagaa ya humu muyaachee humu humu, kimezukaaaaa kituu kipyaa tenaaa?
Hapo nakuweka kwenye mitego yangu😁😁Halafu kumbe ndo maana una nijaza kwenye scope!!.
👉 I swear I'd ni 1 tu, sijuani na zaidi ya watu 2 Humu😀😀.
mumeo nimemaliza kusoma toka 2013 sasahivi nakula mema yanchi tuuWee utadisco mwaka huu, ujiandae na UE huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehee hebu niache mie cocaJamaniiii jamaniiii yaan wee unafall in love mazimaa,
Unazamaaa yote yotee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah wee tin vibayaa hvyooo, ko ulidondokea haswaa kwa Rab? Woiiiiiiih
Msije toana roho tu 😁😁😁Kheeeeeh shouzzzz haya tena yanakujajee? Kumbe wee na uduguuu mna hatred? Si tulikua peace kabisaa humu? Kwani imekuajeee?