Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,122
Moyo wapi mtu anakublem kwa vitu ambavo hata huelewi source yake. Unakaa kimya kuepusha shetani apite anakuona ndezii kwamba unamuogopa ni upuuzi asee!Huu uzi uwe unafungwa tu ..
Ikianza huwa hapatoshi
Naikumbuka last year maneno yalianza ndogo Hadi likaja hili langu dah . Humu ni pa kupita .
Sema wewe ni una moyo .. mie ambavyo siwezi hata kuongea akija tu mtu kunichamba ninamuacha tu aongee Hadi mwisho .
Siwezi kubishana 😂😂 .