Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

@Lamomy

Huyu zamani alitumia Cute wife, ni wa mda kidg, ila alipokutana na mie nkamleta huku selfika ndo ikawa winja winja had now, lakini kutokana na mushkeki kdg I'd yake ya zaman ilipigwa ban ndefu na kuungwa kwa ingne tofauti ya mwingne, ko alivyorudi ili atumie ya mwanzo ikashindkan na lile jina tayar liko kwa mwingne, hvyo ndo yuko na hili.

aletuya

Huyu ni yule Tinsley, bhana bhana kilichotokea kuhusu huyu bintiii ni kisanga tupuuu, ndo unaonaa varangatiiii linatrend had leo, kwa kifupi ni aliyatimba au kuyakanyagaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ubuyuu zaidii utaujua kadri siku zinavyo endaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee!!

Kumbe lamomy ni cute wife!! Na aletuya ndiyo Tinsley? Ila mbona Tinsley alikuwa ni mdada Fulani hivi Hana baya na mtu? Why Leo amekuwa hivi,alafu naona Kawa mkali kama pilipili.

Huyo Lamomy namjua,ni mtata tangu enzi hizo,alafu Kuna jamaa mliyesema ni Nikki wa III( countryyard) naona ana ukaribu nae sana. Au ndiyo anaweka? Nipe habari Binti cheupe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule mlugha lugha jamaniiii?
Au unasema yupiiiiii?
Yeah,aka babaake Ali kiba.

Unajua jamii ya wale watu siyo wabantu! Ni Wana mvuto sana,achana na zile muvi,jutana nao live mazee!!
 
Halafu nimegundua ukiwa mpenzi sana wa uzi huu unakuwa mshari kuliko shari yenyewe [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huu uzi ndo unanifaa kabisaa, napenda heka heka kuliko kulaa. Huu uzi hautakiwii kupoaaa kabisaa.
Unapoa kwa kipii sasa? Aaaah wee wachachuajii tupo winza winzaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio mkali mimi jamani 😂😂
Hello 👋

Shit happens when you don't use your brain wisely ..
Asee!!

Kumbe lamomy ni cute wife!! Na aletuya ndiyo Tinsley? Ila mbona Tinsley alikuwa ni mdada Fulani hivi Hana baya na mtu? Why Leo amekuwa hivi,alafu naona Kawa mkali kama pilipili.

Huyo Lamomy namjua,ni mtata tangu enzi hizo,alafu Kuna jamaa mliyesema ni Nikki naona ana ukaribu nae sana. Au ndiyo anaweka? Nipe habari Binti cheupe.
 
Heh kumbe [emoji23][emoji23]
Ni aibu bhana na pia yashapita ..

Sio kwa kuficha, I think he gave out full info maana hadi screenshots .

Mie Sina cha kusema zaidi .
Eeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?

Unajua unanichanganyaa sana nikiwaza? Yaan kilikukuta kipii ukajilipua hvyoo??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio mkali mimi jamani 😂😂
Hello 👋

Shit happen when you don't use your brain wisely ..
Alafu siku hizi kingereza kingi kimetoka wapi mrembo?

Na kwa nini umebadili jina? Lile la mwanzo limekaa unyama sana kuliko hili asee!! Hili nakugananisha na kuzo wake cocastic ujue.
 
Eeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?

Unajua unanichanganyaa sana nikiwaza? Yaan kilikukuta kipii ukajilipua hvyoo??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo access looh 😂😂😂
Hebu selfika bhana umbea utakuua😀
 
Asee!!

Kumbe lamomy ni cute wife!! Na aletuya ndiyo Tinsley? Ila mbona Tinsley alikuwa ni mdada Fulani hivi Hana baya na mtu? Why Leo amekuwa hivi,alafu naona Kawa mkali kama pilipili.

Huyo Lamomy namjua,ni mtata tangu enzi hizo,alafu Kuna jamaa mliyesema ni Nikki naona ana ukaribu nae sana. Au ndiyo anaweka? Nipe habari Binti cheupe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee doktaaaa utanilipiaa au? Maana ubuyuu ni pesa siku hizi, hata Mange kimambi App tunalipia.

Kuhusu Tinsley muulize yeye si unamuona hapa, naamini atakupa in4 zote.

Kuhusu hawa wengine, tuaache kwan nakuitiaa watakuja kujibu wenyewee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂 Unapenda hekaheka wewe
Unajua wakati naondoka online mwaka Jana Kuna mtu nilikutana nae siku Moja tukawa tunapiga stori,akaniambia unajua Uzi wa Selfika umefungiwa? Nadhani sababu ilikuwa hekaheka kama hizi.

Leo narudi Jf nakutana na hekaheka kama zile za mwanzo.
 
Uwe fourth official, utoage dkk za nyongezaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ! Mwambie huyo udugu wako asinitishe afu sitishiki kiboya mimi aje kumwaga hizo Siri zangu nimemruhusu!
Mimi nicreate Id mpya kisa yeye what for? Who is she ????????? Tumeshea nani ???? Humu ugomvi si mlisema sababu kuu ni kushea hogo haya Hii chuki ghafla bin vuu nimeshea nae hogo lipi?? Kama sio hayo Hii hatred yake ghafla imetokea wapi???
Undumilakuwili haujawahi kumuacha mtu salama awatishiege haohao sio mimi . Mimi sina sababu ya kumjia na I'd mpya Yani sijaona na siioniiiiiiii kwanza Hakunaaaaa anitolee wenge.

Aje amwage hizo Siri
 
Lemme just answer this
I'm so naive when it comes to love .
Nimemaliza 😅😅

Back
Top Bottom