Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,272
- 49,229
Twende tu dear had mapenz yatuue😂Sema mapenzi yenyewe yanatukimbiza hatari ni hakuna kukata tamaa zaidi ya kuendelea kuwa na moyo wa subira .
Mtu inakuwa naye kumbe mwenzako anawaza atakavyokuacha dah 😂😂