Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani shem katupa talaka kisa kaona Tin karudi kweli?? [emoji12]
Mi sijakubali hebu fanya jambo bana..
Ila Tin njoo uselfike utakuwa pin sana ww, mbona vibabu na vijana vinakugombania sana humu??
Tin ww ni star ujue!! Huu uzi ulifungiwa kwasababu yako unalijua hilo??
Wambea wote tulikula ban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tin baadae njoo mahi wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msikilize shem nawee, huenda ukajua na vingine pia, acha paparaa dyadyaa.

Tin akuje ni yuko full package, afu mpolee na mtulivu.
Shape, shingo, unywelee, jicho, lips,

Sijui kwann alimpa mtu access ya kuchezea acc ake, yaan ilikuaje had ampe. Nawazaa hapa ngachokaaa
 
Yani shem katupa talaka kisa kaona Tin karudi kweli?? ๐Ÿ˜œ
Mi sijakubali hebu fanya jambo bana..
Ila Tin njoo uselfike utakuwa pin sana ww, mbona vibabu na vijana vinakugombania sana humu??
Tin ww ni star ujue!! Huu uzi ulifungiwa kwasababu yako unalijua hilo??
Wambea wote tulikula ban ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tin baadae njoo mahi wangu
Hahaha ๐Ÿ˜‚ wewe dada
Poleni kwa ban aisee kama wewe yako ilikuwa ndefu sana .

Mimi Nina sura ya kawaida sana na sio pini hata ..
Sura ya baba , si unajua wakuria tulivyo weus na sura za baba .
 
Udugu kuna sehemu naenda ila usiku hii mechi inaendelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ole mtu nikimtaja hapa anune
Vibabu vinapeana pasi bila choyo ila vijana wanabania pasi ndiomana wanashambuliwa sanaโ€ฆ!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana wanakua wachoyo wa pasi, kila m1 anataka kuwa star wa team, bas wanaishia kufungwaa na vibabuu migas. Woiiiiiih
 
๐Ÿ˜‚ msitutishe kwanza vinatumia vieite/viagra
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mshaanza kupanic vijana
Nasemaje hii mechi bado sana, tafuteni mbinu ya kupindua meza ila vibabu vimejipanga nawaambia oohh!!
Tena ww kipindi cha pili nitamwambia kocha akutoe amuingize mshamba_hachekwi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msikilize shem nawee, huenda ukajua na vingine pia, acha paparaa dyadyaa.

Tin akuje ni yuko full package, afu mpolee na mtulivu.
Shape, shingo, unywelee, jicho, lips,

Sijui kwann alimpa mtu access ya kuchezea acc ake, yaan ilikuaje had ampe. Nawazaa hapa ngachokaaa
Eeh makubwa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mi wa kawaida Coca sina lolote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana wanakua wachoyo wa pasi, kila m1 anataka kuwa star wa team, bas wanaishia kufungwaa na vibabuu migas. Woiiiiiih
Vijana wachoyo sana namuona pale Miongozo anabania sana pasi, anataka magoli yote afunge peke yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Udugu ngoja nikafanye kazi kwanza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msikilize shem nawee, huenda ukajua na vingine pia, acha paparaa dyadyaa.

Tin akuje ni yuko full package, afu mpolee na mtulivu.
Shape, shingo, unywelee, jicho, lips,

Sijui kwann alimpa mtu access ya kuchezea acc ake, yaan ilikuaje had ampe. Nawazaa hapa ngachokaaa
Tin alifeli sana hapa, penzi la kijana lilimzidia akawauza vibabu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapa kijana Rab alipiga shuti kali mpk nyavu za upande wa vibabu zilitikisika sana, hasa yule Elon Musk alipigwa tobo mpk akazimia
 
Hahaha ๐Ÿ˜‚ wewe dada
Poleni kwa ban aisee kama wewe yako ilikuwa ndefu sana .

Mimi Nina sura ya kawaida sana na sio pini hata ..
Sura ya baba , si unajua wakuria tulivyo weus na sura za baba .
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ilikuwa ndefu mpk wakanifanyia figisu wakajua watanikomoa, kumbe ndio kwanza nakuja kuwakausha vizazi vzrโ€ฆ.
Wanaishia kuja na id nyingine kunisema na bado nawakanda na hizo hizo idโ€™s zao wanazojifichia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tin ww ni mzuri nakwambia hapa selfika nzima, atakayebisha aweke pic tuoneโ€ฆ
Wakurya wazuri sana, sema shoga angu kuchuna kakufundisha nani?? Mana umevipiga visate sauzandi ๐Ÿ˜œ
Wakurya mbona sio wachunaji au umechukua kwa mama?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom