Aisee hahaa ni balaa unavyojua kukanda .😂😂😂 Ilikuwa ndefu mpk wakanifanyia figisu wakajua watanikomoa, kumbe ndio kwanza nakuja kuwakausha vizazi vzr….
Wanaishia kuja na id nyingine kunisema na bado nawakanda na hizo hizo id’s zao wanazojifichia 😂😂😂😂
Tin ww ni mzuri nakwambia hapa selfika nzima, atakayebisha aweke pic tuone…
Wakurya wazuri sana, sema shoga angu kuchuna kakufundisha nani?? Mana umevipiga visate sauzandi 😜
Wakurya mbona sio wachunaji au umechukua kwa mama?? 😂😂😂😂
Hapana Mimi si mzuri bhana , Kuna visu wapo humu ndani wa maana huwezi nifaanisha nao .
Wakina boss lady na sio mm
Mimi ni ile grade ya mwisho , tunamshukuru Muumbaji basi .
Mimi sio mchunaji bhana , kwanza hakuna thirty wala nn 😂😂.
Laiti ungejua siwezi hata kuomba hela mtu 😂😂😂 Hadi nibanwe haswa .