Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,882
- 82,093
Tumia websiteHuu uzi umekua mchungu kwangu..
Picha hazifunguki
Tumia websiteHuu uzi umekua mchungu kwangu..
Picha hazifunguki
Sawa ccyBadae ntakubles sis usiwazeeee!
Amekua sana ccy ameanza kupiga hatua kutembea. Mwakani shule😂😂😂😂Amekua sana hapo ameanza kusimama!
Hivi wako saivi si anakimbia kabisa nawe umekuza sis!
Smart mzungu hana mbambambaa ni real man yule.
Kikubwa utayari na nia
Kwan ki joke joke hutaki cazee? [emoji23][emoji23][emoji23]Sa mbona unaniletea unacheka au ndo unaniletea kiutani utani
Nilisahau afu ujue, [emoji23][emoji23][emoji23]Ungeenda kwa jumanne mlilo kutoa taalifa kuwa umepotelewa na mtoto wa mjomba
Nilikuwa offline dadaa,ni majukumu yaliyonifanya nisiweze kumiliki smartphone kwa kipindi cha mwaka mzima.Karibu Mkuu
Heri ya mwaka mpya pia.
Ulipotelea wapi?
Karibu sanaNilikuwa offline dadaa,ni majukumu yaliyonifanya nisiweze kumiliki smartphone kwa kipindi cha mwaka mzima.
But nimerudi,tuko pamoja sana mkuu.
Cc: cocastic
Asante sana mkuu Mr Charles.Karibu sana
Aamin aamin rafiki baraka zako tumezipokea thank youuuu!Mambo yamebadilka sana kipindi cha mwaka mwaka mmoja.
Sister angu Mahondaw amelirudia jina lake la zamani kutoka Antonnia, lakini pia nimeona mambo ni moto faya na Mzee baba Smart.
Mwenyezi Mungu aibariki sana couple yenu,ifike mbali.
Jirani tuko viwanjani 😂😂😂Nini kinaendelea jirani 😅
Usiku mpira unaendelea 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ni final sasa.
Match had mikwaju ya penalty hii.
Babu miga kapania kuondoka na kombe 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣😁Nilimkanda kwenye 120 huyo Chelsea ni kibonde wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ni final sasa.
Match had mikwaju ya penalty hii.
Yani shem katupa talaka kisa kaona Tin karudi kweli?? 😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona hilo jamboo uduguuu.