Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeee, umevuka viwango vya FBI na CIA.
 
[emoji1787][emoji1787]
Hahaa jamani wewe dada [emoji28][emoji28]
Eeh Mimi siwezi maneno Yani ngoja niongee kwa kutulia .

Sio wababu bhana , hao wakaka ni vijana kabisa [emoji28]
Hayaa vijanaa tena wakaka, watajee haraka na sie tuwarukie, tukapate sate sauzand.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kivumbiiii leooo.
 
Vyombo niliwapelekea wake zangu wanne[emoji1787][emoji1787] elewa neno wake wanne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote hao? Sasa si ungewachukua wachague wao, kumuita tin akusaidie, kwioooo??
 
Hehee makubwa hao vijana waongeze dau wafike hata 50K
Wawazidi wazee (jokes)

Ila jeifu lol humu ndani ni [emoji91]

Mimi sio muongeaji dear hapa yenyewe macho yanauma usingizi .

Vitu vingine nishasahau ili kujiponya nafsi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu mie watasema waooo.
Huo mda cna mbonaa, sio yeye mjep tyuuh, kuna wengine pia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muache afunguke yeye mjep, mie mtazamajiiii.
 
Oyoooooooo!! Vijana kuna ujumbe wenu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila vibabu vina sifa yani kiss vinatoa sate whooooufff [emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana ongezeni kasi vibabu vinashambulia sana karibu na goli lenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zinauma kwa kuchekaaa.
 
Achana na haya mambo Tin cz hata mim pia husema watu tena kwa mabaya na mazuri. Sisi sote ni binadamu na wadhaifu.

Lakini kama umeamua kutojihusisha kwa sababu ya mtu unaemzidi akili ccy unakosea, raha jipe mwenyewe.
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....!

Uko na akili mingi sawa sis!


Ye akuje tu tuendelee kusemana iwe nyuma ya pazia iwe huku jukwaani mwisho wa siku mafuta yatajitenga na maji tu!
 
Hizi ids mpya siziamini kabisa sijui kwanini!!

Kama ni wewe tins uwe na amani tu mamy karibu sana tuendelee kuselfika!
Ids mpya ni nyingi sana sema huyo ni Tin kweli, Ila kuna zingine unaweza shangaa za makaka zetu zinawekewa picha za warembo😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekua Mpenjaaa uduguuuu? Mara hii?
Sikuweziiiiiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguuuu?? Nn hikii??
 
Ngoja nikalale mpira utaendelea kesho mtangazaji anaenda kuhudumia ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaachishwa kazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi utangaze mpira, DSTV itapata hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…