Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,948
Achana naye anatapatapa, mbwa ukimjua jina wala hakupi shida 😂😂😂😂Unajua bado nashindwa nimjibu vp aisee
Achana naye anatapatapa, mbwa ukimjua jina wala hakupi shida 😂😂😂😂Unajua bado nashindwa nimjibu vp aisee
Ngoja tuone hili ameanzisha amedhamiria nnEti nimekuambukiza ukimwi Kantry, ila kuna vitu vinachekesha aiseee!!!
Hizi id zinazobadilika rangi ni tatizo aiseee!!
AiseeHebu tuma yako na wewe tuone minyama iliyojazia km kitumbua cha bi mwanakombo
Kumbe ile video siku ile ilikuuma.?? Pole sana uduguu wangu
Hapa bado siamini nachosoma aiseeNilitaka nimchambe siku ile ukanipliz na maneno mengi, haya jionee upuuzi sasa
Mimi sipendagi unafiki unanijua ila uliongea mengi
Weee ccy mi nakula mbona yani tena ukija tutaenda tiktok ccy eeeh acha kabisa ccy.Mroho wapi hata huli sis..Unagusa tu nashangaa unapasukaa hatarii
Ww nakupa time ila tutaonaAikooooooo.
Hapana bado sijaelewa hata!Unajua nn umefanya, umenisikitisha sana
Naona mmeitana na leoAikoooooooh! Umenishtua sana unajua iyo salam ya Aikooooo! ilipotokea? Unanifanyia uchonganishi sana, hiyo salamu nina Copyright yake mimi ndo mmiliki wa hiyo Salamu popote kwenye kwenye Comment zangu naanza na hiyo. Unachokifanya ni unaenda kuiba halafu unadondosha ID ya mtu mwingine kaka mchonganishi wewe
![]()
Kwanza nimesha elewa you aren't a man, nimesoma mwandiko wako, Lakini bado siamini kweli ni wewe nayekujua! Mimi sichonganishwi bure kitendo umejila,![]()
Weee hata huliii ...Weee ccy mi nakula mbona yani tena ukija tutaenda tiktok ccy eeeh acha kabisa ccy.
Ngoja kwanza ntafuta, huenda kuna kitu amedhamiria haiwezekani from nowhere tu Leo zikaja story hiziJamani
Futa bana tutarogwa ujue beibyyyy![]()
Garbage.Naona mmeitana na leo
Mim nakula ccy mbona, tumekumis mno mno.Weee hata huliii ...
March nitakuja Mwanza sis nimewamiss balaa
Ww muache afunguke kwanza kuna point naitaka ili nimkamatishe vzr, wala usijichoshe naye…!!! Si kaamua kujizima data we muacheNgoja kwanza ntafuta, huenda kuna kitu amedhamiria haiwezekani from nowhere tu Leo zikaja story hizi
Kumanyokoo.Aikooooooo.
Soon ntakuja kipenzi miss you more!Mim nakula ccy mbona, tumekumis mno mno.
Mambo nigani hapa??Aikoooooooh! Umenishtua sana unajua iyo salam ya Aikooooo! ilipotokea? Unanifanyia uchonganishi sana, hiyo salamu nina Copyright yake mimi ndo mmiliki wa hiyo Salamu popote kwenye kwenye Comment zangu naanza na hiyo. Unachokifanya ni unaenda kuiba halafu unadondosha ID ya mtu mwingine kaka mchonganishi wewe
![]()
Kwanza nimesha elewa you aren't a man, nimesoma mwandiko wako, Lakini bado siamini kweli ni wewe nayekujua! Mimi sichonganishwi bure kitendo umejila,![]()

Anapenda sifa za kijinga na kujisifia mwenyewe, ndio namwambia aweke tumuone 😂😂😂😂Aisee
Soon ntakuja kipenzi miss you moreMim nakula ccy mbona, tumekumis mno mno.
Mlenda haunenepeshi Auntie🤣Weeeh Poker ataniacha amesema niishoe hapa hapq🎉😂😂😂😂😂