Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,290
- 108,310
Kibamba ipi...
Weka directions kidogo
Weka directions kidogo
Jumapili na jumatano, ni mbuzi sana na kondoo wachache
Jumapili na jumatano, ni mbuzi sana na kondoo wachache
Na wewe unataka kusema 95 ulikuwa advance au second year?!!Dogo...hebu toa shikamoo



Since mmegoma kuweka picha, acha niposti zenu nilizonazo...mwenyewe ajitambulishe kabla sijaonyesha sura.
View attachment 1279235
Kibamba CCM/CHAMAKibamba ipi...
Weka directions kidogo
Dimpozi ya ukweli
Dimpos matata saaana

Picha yako na hizi fujo zako humu mtandaoni ni tofauti kabisaaaa teh teh teh teh teh
Mimi sijawahi bahatika kuiona picha yako kabisa, nikibahatika kuona itanifariji sanaDimpozi ya ukweli
Mbona unaniogopesha eti 🙄Picha yako na hizi fujo zako humu mtandaoni ni tofauti kabisaaaa teh teh teh teh teh
Duh mimi naongoza kuweka picha humu mpendwa unakwama wapiMimi sijawahi bahatika kuiona picha yako kabisa, nikibahatika kuona itanifariji sana
Ubless basi mchana wangu 😛Dimpozi ya ukweli
Ukipajua tuambiane mzee mwenzanguKibamba ipi...
Weka directions kidogo