Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Gubu linakondesha ujue.
Facts only.
Gubu linakondesha ujue.
Na mimi naomba niwe shahidi.@Karma njoo uwe shahidi. HS akituma picha yake nakitoa jf.
Eeeh! Angalau sasa hivi umekuwa na mwili wa kiume sasa. Heaven Sent sio mtu mzuri kabisa. Big up kwa new mkwe, kwanza kakufanya uitwe baba(maana ulikuwa unatamani japo mtoto ni mkubwa kuliko muda wa kutamani[emoji85]) halafu amekupa amani unaonekana tu una furaha sasa hivi.
Mambo ya Kibamba chama[emoji238][emoji231]View attachment 1279155View attachment 1279156
Kuna ambao stress zinawanenepesha.Weeee mie sina gubu wangu kila siku ananenepa
Hivi umesahau siku ile unatoka Mbeya ulisema unatoka wapi? Na mkawa mnaongelea mambo ya graduation. Haitoshi kuna siku mkawa mnaongelea mambo ya umri. Nikabaki hiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Niliacha bwana, ulimi ndio meshindwa[emoji85][emoji85]anayependa nyonya dole gumba lake
We najua ni mzee mwenzangu, basi tu yaani.Dogo...hebu toa shikamoo
Kweli kabisa.Facts only.
Eeeh! Angalau sasa hivi umekuwa na mwili wa kiume sasa. Heaven Sent sio mtu mzuri kabisa. Big up kwa new mkwe, kwanza kakufanya uitwe baba(maana ulikuwa unatamani japo mtoto ni mkubwa kuliko muda wa kutamani[emoji85]) halafu amekupa amani unaonekana tu una furaha sasa hivi.
Safi kabisa. Heaven Sent washatimia watano.Na mimi naomba niwe shahidi.
Naomba nipate mashahidi kuwa utajitoa JF
Usione aibu Ababy mpendwa mapumbuni kawaida tu.Aibu nimeona mimi[emoji85][emoji85][emoji85]
Hao watoto wenzio hata hatuwajui.[emoji851][emoji851]hivi kwani hao wa hapo nyuma mtawajua eti??View attachment 1279229View attachment 1279231
@Karma njoo uwe shahidi. HS akituma picha yake nakitoa jf.
Nasubiri pia marudio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo atakuwa Saint anneSince mmegoma kuweka picha, acha niposti zenu nilizonazo...mwenyewe ajitambulishe kabla sijaonyesha sura.
View attachment 1279235
Nimefurahi tu.