Uongooo! Hebu weka tuone! Mimba ni kitu cha kuwa proud of weka bwana!πππ Huamini.?? Ww subiri mwisho wa mwaka Max anapata mjukuu kutoka kwa member wake wa jf π€£π€£π€£
Uduguu nimepigwa na kitu kizito mpk naona aibu, nna kibendi kweli
Nakufundisha kwani nimekushikia chupa jirani ππππ Jirani unanifundisha ulevi
Ngoja nikapooze hasira za kukosa mapito naked ya jirani πWw sema ulikuwa unatafuta sababu ya kutaka kulewa jirani πππ
Mwenyejiiiiii nipee lift bas, huhuhuh
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa si njegeka za uke wenza zikaharibu maana ya uzi, woiiiiiihHuu Uzi unanikumbusha kitambo hicho wakati unaanza ulikuwa mzuri sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui nacheka nn hata.Wakishirikishaga mapenzi tu wanaharibu
Uzi unafunguliwa na habari cna, wallah nistaafu kuwepo JF sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]hatimae uzi umefunguliwa.
Haki siku hizi niko nyuma sana na Jf
We ngadu umerudi πππ[emoji23][emoji23][emoji23] sasa si njegeka za uke wenza zikaharibu maana ya uzi, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi ni kukumbushana yaliyotokea nyuma. Baaas.Jamani huu Uzi umerudi hauna ile amsha amsha km mwanzo
Mods ,mli inturupt sshv kitakuwa kijiwe Cha story tu[emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna bayaa dada mkubwaaa, huna ukungu tajiriiii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naona unataka coca aninunie dada ake sasa..!!
Last born wetu muache anakupenda sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kwann lakini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcityβ¦!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know [emoji41]
Maneno ishirini bado.?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni [emoji12][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]