min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,549
- 175,303
😅Muda ulireply ungeweka na picha, unachelewa bana..!!
😅Muda ulireply ungeweka na picha, unachelewa bana..!!
Ni mama yangu😁,sio mieMlongo sijakuona, pita tenaa bhana.
Wee kumbee!!Ni mama yangu😁,sio mie
Kaka tuache ugomvi...Kisa kuku entertain ndio utake kunipanda kichwani? Unanijua nikibadilikaga, nimekuambia baadae.
Hapo alikuwa ametoka barbershop kunyoa ndevu, akaenda saloon akapaka lipstick na akavaa wigi, kwakweli huyu jamaa sijui ana shida gani...Njemba ilivokaa kwa utulivu kama mtu vile
Bila mie hutembei kabisa Mjini JF. Unataka nikupeke mjini eeeh??Kaka tuache ugomvi...
Weka picha unaweza shangaa ukapata pisi kali humu humu..