Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Utawezaa na Kuwa sawaSiku nikianza kukaa mwenyewe Dunia itageuka[emoji1787][emoji23]
Waoga wa maisha kauli zetu
Japo ni ngumu ila Mungu kama jina lake Jehovah Jireh , he will surely provide .
Mimi nimekaa kiubishi mwanzoni na nimeweza , hakuna kigumu chini ya jua .
You just have to set your mind
Budget pia muhimu
Pia kuridhika , kama huwezi kuafford kitu unakiacha .