Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuendelee kuselfika jamani
Maisha ni hayahaya
IMG_20230824_073219_972.jpg
 
Alisema mdada mwenyewe na kutaja mafuta ya upako!! Jiongezee uduguuu!!
Madam achana nayo haya mambo
Una mambo mengi na majukumu ya muhimu ya kututrngenezea wakemia nchini.

Tumemiss maselfie yako matata [emoji91][emoji91]
Vocha zile Boss ledi wetu ulikuwa unatupa majobless kipindi hicho (Wema hauozi)

Tuselfike Madam
 
Hawajielewi achana nao!! We pesa ya kubong’oka si mateso hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora ujitafutie pesa yako isiyo na mateso
Tena huyo mbong'oko ndio mchawi namba moja uduguuu hata miaka hiooo jamaa alishaniuliza hivi huyu mdada ulimfanya nini mbona anakuongelea sana!! Kuuutwaa kupeleka mambo yanguuu🙌🙌🙌🙌🙌
 
Madam achana nayo haya mambo
Una mambo mengi na majukumu ya muhimu ya kututrngenezea wakemia nchini.

Tumemiss maselfie yako matata [emoji91][emoji91]
Vocha zile Boss ledi wetu ulikuwa unatupa majobless kipindi hicho (Wema hauozi)

Tuselfike Madam
Mie hata sina picha mpya asee Fanya kutupia kama unayo!
 
Unajua kuchochea kuni we mtu[emoji16][emoji16]

Nataka pic ya mbong’oko me [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue kila nikivuta pic naishia kucheka sanaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa nataka wanipe niangalie live bila chenga nimpe maua yake dada MIBONG’OKO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pesa ngumu dada lazima watu wajiongeze 😬😁😁😁
 
Tena huyo mbong'oko ndio mchawi namba moja uduguuu hata miaka hiooo jamaa alishaniuliza hivi huyu mdada ulimfanya nini mbona anakuongelea sana!! Kuuutwaa kupeleka mambo yanguuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Emu nipe pic yake nisafishe macho, mselfishe tupate ladha
 
Back
Top Bottom