Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bamia ya mchongo haipo kwenye kitabu cha makungwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya asali hii ndo moto!! Si umeona anavyong’ang’aniwa na Miongozo [emoji23][emoji23][emoji23]

Kapiga nyapu zote lkn bado anaiwaza ya Antonia tyuuu!!!
😁😁😁
 
Unaweza kusamehe kwenye mazingira yoyote?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna kusamehe wambea tutakosa cha kujadili!! Udugu Antonnia kabla ya kusamehe nitumie pic za aliyebong’oka kwanza!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi Kantri unajua kuna pic ya mtu kavaa bikini [emoji160] afu kubong’oka??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni ya nani?
 
Wewe tena si ulikuwa na jambo lako humu limeisha 😁😁😁
 
Nilikula school fees mwenzio afu class me ni wale tunakaa back benchers kazi yetu kusogoa umbea na kumjadili ticha wa history anamsema zinja wakati yeye mwenyewe ni zinja aliyechangamka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya maths tafuta thamani ya "y", hadi leo y hujampata
 
Back
Top Bottom