Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama mie muongo mwambie apost picha kama hujakimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenye hasira na makasiriko na mie hujakimbia, ndo akimbie yeye??

Raha ya umbea uwe na evidence, unaambiwa uweke picha hizo kuthibitishaaa unabaki kuhaha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DJ waleteeeeeeeeeeee
 
Hio ipo sana humuu shoss akee hujaizoea tu??!
Khakhakhaaaa!! kwa unaa uliopo humu walikua wanamtumia sana picha zangu na blah blah kibaoooo eti wanamshauri nyieeee! Afu anayaleta kama yalivoooo!! 😊😊!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaaa!!!
Leo unanichekesha wewe ujue, ila nakuonea huruma sana coca akifika atakusuuza
Nimsuuze mara ngapiiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anatafuta ahueni ya nilivyo mfurushaa mwaka juzii,

Ile ni kubwaaaa, na haitokaaa ijirudieee, anaweweseka hadi leoo. Wee muulize akupe habariii.
 
Nyie babu tena?? [emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yupi yule wangu migambuti au??! [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona me sikuziona hebu mabingwa wa kutuma na mie wanitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…