YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mpka TISS wapo humu
KIVUMBI LEO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpka TISS wapo humu
KIVUMBI LEO
Ndio maana unasukuma chuma kali, nikajua ulihongwa[emoji23]Bado unaziwaza pesa zangu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me sina njaa mwenzio ukiona nimekuchit ujue nimeamua tyuuu!!!
Basi siji😂, man niitia makande😁.
👉 Halafu nyie mna enda kuku kuku😁
Acha waswahili walipuliwe[emoji23][emoji1787]
Alooooooo
Lodge joto
Ndani joto
Nje joto
JF JOTO
SELFIKA JOTO
KIVUMBI LEO
[emoji23][emoji23][emoji23]Eee fanya hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee...uko kama mimi👍kigori mie niliamua kuwachia mijadara yao.. ila sasa wanaendelea kufata watu na kunichafua kuwa navumisha nimewala..
Narudia sijawai kula mtu humu JF, sijawai tongoza mtu humu na haitakaa itokee..
Ile picha niliona miguu nikasema hizi ni nondo au miguu ya mtu, kumbe miguu aisee.Wee sema kweli?? Udugu cocastic emu tupia hiyo pic na me nione bana we wa kuninyima me pic?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee una wazimu eeehh???? Hivi wee kichwani zimo kweli???! Ulinitaka nikakukataa nini haya makasiriko yote kunani???
Hebu kwendraaa huko na nuksiii zako za kutongoza wadada wakikukataa unawatafutia kisirani Mbona Mie sina habari nawewe muda mrefu hizo chokochoko zako unanitafutia nini???
Acha kutafuta kiki humu sina muda nawewe kenge mzee wewe mmxxxxxieeewwww!!
Yaani wewe kwenye moto unao waka wewe unaongeza mafuta 🥶Acha waswahili walipuliwe😂🤣
Ndio maana unasukuma chuma kali, nikajua ulihongwa[emoji23]
Washa feni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee...uko kama mimi[emoji106]
Ile picha niliona miguu nikasema hizi ni nondo au miguu ya mtu, kumbe miguu aisee.
dogo mzushi sana kateka hata ID ya dogo.. na maupambavu yao ..Ndyo maana nikamtafuta [mention]Tinsley [/mention] sioni ID yake kidogo nimcall normal kumbe ningehackiwa
Kivumbi Leo
[emoji23][emoji23] nakubali. Bado mbweni[emoji23]Sijaona wa kunihonga?? Hizi vocha za jero za humu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenyewe wanasubiri mjep awape!!
Wakinga hatuamini kwenye kuhongwa, sisi ni ma fighter njoo Mwanagati uone mijengo tulioporomosha afu mtaa wote mademu
Nashangaa sana mtu kuanza kukomaa kutongoza mtu humjui hakujui hujawai muona.. Hatari sanaAisee...uko kama mimi👍
Hizi lodge za manzese kwa mfuga mbwa hazina feni
Kivumbi Leo