Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Nyie ila huku pm Wanawake tunakumbana na mtihani 🙆🏾♀️@nuzul
Sema Kuna watu mabwege kweli😂😁, una iba I'd ya mtu ili iweje😂😁
Nyie ila huku pm Wanawake tunakumbana na mtihani 🙆🏾♀️@nuzul
Sema Kuna watu mabwege kweli😂😁, una iba I'd ya mtu ili iweje😂😁
Tupia basi maokoto
😅😅😅😅 ananijua huyoo.. .. lazima alete nyama na damu yake..Oyaa National Anthem kina visha hiki😁🤣😂
Jamani muache mgeni Intelligent businessman aje ale makande yasije yakaharibika!!🥴 Tutatoka lunch kesho.😅😅😅😅 nani kakuambi tumepika makande kwani .. sie tunatoka mlo wa jioni tunaenda mahala
[emoji23]
mshenziii kabisaaa.. hana akili.. nilipotezea hilo mambo toka juzi.. naona wanaendelea kutunga story..
Sasa acha nikaaange mtu na mafuta.. hao wanao sema naumisha nimetoka na Dr Lizzy .
.. kuna jina mmoja humu anaitwa Rabbitus .. huyu dogo msenggee sana.. yeye anaenda mfukuzia @tinsley.. anaenda mtishia anasona PM zake zote, anamtishia nimeuundia jamaa kikundi kwamba asimfate @Tinsley ni mtu wangu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].. na kuanza kueleza habari za kuwa na date na Dr Lizzy na tahira mmoja hivi.. ili dogo amind anipige cha mbavu.. kitu ambacho sio kweli.. bahati nzuri yule mtoto sio mnafiki na kanaogopa upumbavu kakanichana .. Rabbitus acha ushamba.. mrudishie dogo ID yake.. hayo mapenzi ya kizamani unawivu hadi una beba na ID ya mtoto mdogo yule ...
Intelligent businessman unaona maupuzii ya humu.. tunakaa kimya tu.. ila watu humu washenzi sana
Kalisha post picha hapa kamekauka kama kuni.Sasa ulijuaje km ana gumu km jiwe?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kigori mie niliamua kuwachia mijadara yao.. ila sasa wanaendelea kufata watu na kunichafua kuwa navumisha nimewala..Mmmh nyiee si kweli 🙆🏾♀️
Basi siji😂, man niitia makande😁.Jamani muache mgeni Intelligent businessman aje ale makande yasije yakaharibika!!🥴 Tutatoka lunch kesho.
We tulia waswahili wazikwe😂🤣Nyie ila huku pm Wanawake tunakumbana na mtihani 🙆🏾♀️
dogo msengge sana.. anakaba hadi kivuli maskini katoto ka watu kateka ID kabadilisha password alafu kagoma kukarudishia.. kameishia kuwa kapenzi katazamaji.. Humu watu kama wanatongoza waende kivyao.. wasienze siasa chafu.. Mie sijawai date na mtu humu.. huko kitaa wadada wakali kibao.. why nije ku bet humu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].. hata huyo Depal mie nimejuana nae nje ya JF ndio nikaja Jf.. sasa hawa washirikiana wanakunya kunyaa
Kila sehemu upo?[emoji23][emoji23]
tahira mawigi.. [emoji28][emoji28][emoji28] anaomba hadi buku tatu alafu kwa mdada mwenzake.. shenzi sana mchawi kabisaa... hana aibu yule..
Vipi mkuu😂🤣🤣Ebana ehhh
Kula chuma hiko
alafu we kenge Rabbitus mie nita deal na wewe physical ndio ujue una deal na mtu wa aina gani.... na ole wako ukampige mikwada mavi huyo mtoto nitashughulika na wewe kisheria na kihuni pia.. fala kabisa wewe
Acha waswahili walipuliwe😂🤣Kivumbi Leo
[mention]TANESCO [/mention] msikate umeme jaman
Basi ndugu wapotezee punguza hasira ngoja nikakuchukulie fanta baridiii🥰kigori mie niliamua kuwachia mijadara yao.. ila sasa wanaendelea kufata watu na kunichafua kuwa navumisha nimewala..
Narudia sijawai kula mtu humu JF, sijawai tongoza mtu humu na haitakaa itokee..
kigori mie niliamua kuwachia mijadara yao.. ila sasa wanaendelea kufata watu na kunichafua kuwa navumisha nimewala..
Narudia sijawai kula mtu humu JF, sijawai tongoza mtu humu na haitakaa itokee..
Wee una wazimu eeehh???? Hivi wee kichwani zimo kweli???! Ulinitaka nikakukataa nini haya makasiriko yote kunani???tahira mawigi.. 😅😅😅 anaomba hadi buku tatu alafu kwa mdada mwenzake.. shenzi sana mchawi kabisaa... hana aibu yule..