Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,820
- 40,327
Picha zako ninazoPicha gani mpendwa
Picha zako ninazoPicha gani mpendwa
Kwa hiyo kama unazo.Picha zako ninazo
Nilishwahi kuisemesha ikanisnichi kwa mrs imebaki nakula kwa macho tu.Hahahaha, Mkuu ,
'sema nae usione soo'
Live hiyo mkuu
Hiyo tarehe imeandikwa wapi mkuuHiyo picha umpiga siku nyingi mbona tarehe chini hapo imeandikwa soma mwenyewe unabisha nini

Hiyo tarehe imeandikwa wapi mkuu
Mkuu hiyo ni catwalk jirani wa kialgeria naiangaliaga nasema mhhhhh.
Acha zakoAngali picha ulopost chini kuna namba zinasoma kinyume mwaka,mwezi,na tarehe.
Nyingine hadi na namba za simu kabisa![]()
Mkuu kusema kweli mimi issue za pafyumu siyo mpenzi nadhani shauri ya bei,mimi natumiaga spray za buku mpaka buku tano.Mfano hii.Hiyo catwalk kuna pafyum yake natumia ni balaa
Unakazingua tu kajione nako kamekula chumvi
Acha zako
Mkuu kusema kweli mimi issue za pafyumu siyo mpenzi nadhani shauri ya bei,mimi natumiaga spray za buku mpaka buku tano.Mfano hii.View attachment 1278797
Nani amekuwa anakuficha recentlyHivi kumbe hakajala chumvi enh??
Kitu kimoja umekificha..je waweza kukionyesha japo kidogo? ?
Dah...hivi tulikiwa tunadiskasi nini tena?
Kuna maneno niliandika ukaniuliza ni lugha gani ile