The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,454
- 20,857
Niaje bro.
Poa aisee siku ukitoka kijijini ulipo ukisogea near dsm nitafute
Niaje bro.
Pamoja mkuu.Poa aisee siku ukitoka kijijini ulipo ukisogea near dsm nitafute
Nasubiri kusafisha macho wa nyumbani handeni[emoji91][emoji91][emoji91]
Lalaa
Nasubiri kusafisha macho wa nyumbani handeni
hata tbt tu inatosha.Wa nyumbani leo sina picha mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hata tbt tu inatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto wewe ni ndugu yangu ujue.
Sijaona mkuu hiyo nambaUmeziona lakini?
Good morning kalumanzila.Good morning pipo
siamini hatimaye leo nimejionea😍😍😍😍
Nani amekuwa anakuficha recently
Bora mkwe umeuliza, maana mmmmh!!Hahahaha kaka mbona nipo humu kila siku na huwa tunachat?? Sema siku hizi kweli mambo yamekuwa mob ni vile tu naipenda sana JF ndiyo maana nalazimisha kuwepo!!
Ohh pole, mtu asipo pendezwa na vitu vidogo je vikubwa vitamfurahisha?
Aibu nimeona mimi[emoji85][emoji85][emoji85]Hasa kama budget hairuhusu inabidi iwe ivo,mimi huwa napiga hii kwenye makwapa na mapumbu na inanukia labda pua yang mbovu.