Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Hebu chukua mahari yako utembee mbele 😁😁Pesa mbele kuliko mapenzi chitAki
Hebu chukua mahari yako utembee mbele 😁😁Pesa mbele kuliko mapenzi chitAki
Usijali MkuuIna maana zote zinakosa!siku nyingine ukitupia unimention bhas
Aise siyo kwa Atoto
Hiyo ni korogwe au....
Hahah nakusubiri hapa Kajiado
Ni wa huko kabisaa, Sijui kotela kuna siku tulikaa na yeye hapo
Basi mimate inakutoookaa[emoji44][emoji44][emoji44]
Na upole huuu?[emoji134][emoji134][emoji134]@Karma anaiga wewe uchokozi chokozi
Shaweka nyingi sama my kaka. Sina mpya ya kuweka.Weka picha basi
Wapiiiii?????Nimeweka nimefuta,....
[emoji16]Naomba ugeuke kidogo basi[emoji7]
Whaaat!! Kumbe kweli kaweka[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Picha Zako huwa unakoseaga au hii ni Mara ya 2 najionea sura yako ila huwa unawahi kuzifuta
Mimi sijaona atiiiiShaweka nyingi sama my kaka. Sina mpya ya kuweka.
Kajiado ya namanga au
Jioni si ndio hii jamani[emoji12]Last time niliweka za dogolasi nikafuta,leo nikaweka zangu nikafuta. Ila ntaweka ngoja jioni ifike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu chukua mahari yako utembee mbele [emoji16][emoji16]