Hasa kama budget hairuhusu inabidi iwe ivo,mimi huwa napiga hii kwenye makwapa na mapumbu na inanukia labda pua yang mbovu.Tatizo la hizo za kwenye makopo hazikai kwenye nguo unaweza jipulizia chumbani ukitoka ukafika kituoni harufu imeisha
Nani amekuwa anakuficha recently
Kitu kimoja umekificha..je waweza kukionyesha japo kidogo? ?
TabasamuKitu gani hiko??
Tufanye sikuuliza muda ushaenda sana tokea swali hadi jibu
Hahahaha kaka mbona nipo humu kila siku na huwa tunachat?? Sema siku hizi kweli mambo yamekuwa mob ni vile tu naipenda sana JF ndiyo maana nalazimisha kuwepo!!
Lala salama mama haibaHizo zote zako tu. Bado sijahesabu za Shunie na Heaven Sent
Ohh pole, mtu asipo pendezwa na vitu vidogo je vikubwa vitamfurahisha?Bora hata wewe mkuu umeridhika kuna watu hata hivyo nilivyotuma tu bado hawajaridhika na wanalalamika kabisa eti![]()
Hasa kama budget hairuhusu inabidi iwe ivo,mimi huwa napiga hii kwenye makwapa na mapumbu na inanukia labda pua yang mbovu.
OK mkuu asante sana kwa ushauri.Huko kwenye pumbu siku nyingine usipulizie tena huko sio nzuri maana hiyo ni kama asidi petroleum baadae inakuja kufanya uwashwe joto likizidi
Ok pamoja sanaOK mkuu asante sana kwa ushauri.
Haaah! unazingua utakuja kuwa unatoa harufu za mixture ya ovyo. Usipulize uko chini, hata kwenye kwapa si best option. kule ni kuna kitu kama hydrocare natumia maana pia harufu kali inaumiza kuchwaHasa kama budget hairuhusu inabidi iwe ivo,mimi huwa napiga hii kwenye makwapa na mapumbu na inanukia labda pua yang mbovu.
Asante sana kwa ushauri mkuu,hasa wanavyosema body spray kwani makwapa na pumbu siyo part ya body.Haaah! unazingua utakuja kuwa unatoa harufu za mixture ya ovyo. Usipulize uko chini, hata kwenye kwapa si best option. kule ni kuna kitu kama hydrocare natumia maana pia harufu kali inaumiza kuchwa
Hasa kama budget hairuhusu inabidi iwe ivo,mimi huwa napiga hii kwenye makwapa na mapumbu na inanukia labda pua yang mbovu.


broNiaje bro.