Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shukrani ngoja nijaribu hii nikiweza nitakupa mrejesho kwenye ule uzi wa vyakula
Poa,hiyo jibini unaweka mwanzo kwenye mkate wa pizza baada ya kupaka ile sauce ya nyanya kisha unatia nyama yako + mazaga mengine then jibini tena unaweka tena nyama +mazaga unamalizia na jibini juu inakuwa tayari kwa kuoka ,ukitumia cheddar cheese itabidi u pre bake mkate wako ukiwa umeupaka ile sauce ya nyanya kwasababu cheddar cheese haitakiwi kukaa kwenye moto muda mrefu inakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom