Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Malcom Lumumba umefuta nini?
Kwani ulisema vya kudanlodi haviruhusiwi humu ndani,maana waliniandama sanaHapana best take it easy.. I don't want this happen
Hapa najiuliza nilianzishe na Konyagi,Belaire,Marques de Negra au nikalView attachment 1278555e mmea niachane na haya masumu.
Naomba mchanganyiko wake hapo juu nami nataka niipike bestApo imeshaiva best ,cheese tuu niliweka kidogo kwasababu napenda izo mboga mboga zikiwa ivo
Nafanya nyingi tuu ndogo ndogo
Kidari cha kuku,kitunguu maji,garlic&ginger paste ,hoho na karoti unaweza kuongeza mboga mboga zingine,pia kuna sauce yake ya kulia ambayo unablend mayonnaise,juice ya chungwa,pili pili manga ,tangawizi,garlic vya ya unga,ketchup vipimo utakadiria kulingana na wingi wa sauce yako ila mayonnaise ndo ingredient kuu ya sauce hiyoNaomba mchanganyiko wake hapo juu nami nataka niipike best
😂😂Walizimika na swagga ndio maana![]()
Shukrani jibini ile nyeupe una mwagia kwa juu piaKidari cha kuku,kitunguu maji,garlic&ginger paste ,hoho na karoti unaweza kuongeza mboga mboga zingine,pia kuna sauce yake ya kulia ambayo unablend mayonnaise,juice ya chungwa,pili pili manga ,tangawizi,garlic vya ya unga,ketchup vipimo utakadiria kulingana na wingi wa sauce yako ila mayonnaise ndo ingredient kuu ya sauce hiyo


Walizimika na swagga ndio maana![]()