Nimepokea mpendwa tuma sasaMpaka utakapo pokea mahari yangu, nitatuma
Hongera mku
Unapokeaje bila heshimaNimepokea mpendwa tuma sasa
Hebu weka nawe tubembelezane kama pesa ☹️Unapokeaje bila heshima
Hahahaha, hapo hkn tofauti na kukabwa na wezi au kupoteza waleti
Imekaa sana hapo juuHebu weka picha nione lile tabasam lako
Njoo asapMtaje![]()
wallah hata mie nikimuangaliaga huyo mbwa kuna mtu huwa ananijia kichwani,, Mungu anisamehe mimi..
Picha Zako huwa unakoseaga au hii ni Mara ya 2 najionea sura yako ila huwa unawahi kuzifutaNimeweka nimefuta,....
Meshatupia sana jamaniTupia bhas nawe tukupe hongera
Weka picha basiDuuuh!
Ina maana zote zinanikosa!siku nyingine ukitupia unimention bhasMeshatupia sana jamani
Pesa mbele kuliko mapenzi chitAkiHebu weka nawe tubembelezane kama pesa![]()
Last time niliweka za dogolasi nikafuta,leo nikaweka zangu nikafuta. Ila ntaweka ngoja jioni ifikeMungu hapendi